Mr perfect
Senior Member
- May 17, 2013
- 152
- 141
sawasawa,kozi fupi au scholarship za masters kwa hapo uswiss wanatoa je link waweza kuwa nazo? utusaidie mkuu.
HOT
HOT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu scotland ni nchi ninayoipenda sana vipi kuhusu fees zao undergraduate na postgraduate....Mkuu Parabora mi nakualika Scotland na nakuahidi Ukija huku,stress free na nyumba ya kufikia na chakula chako chote during your stay,
Ila Mzee Mimi nakujirusha katika maisha yangu yote nimewahi mara moja Tu night club Scotland tena ilikuwa ni Kwa sababu maalum ndo mana nilienda,jamaa walikuwa wanafanya fund Raising ya charity ambayo nipo involved,
Ukifika huku ntakupa kila Aina support na list ya club zote na kama Una driving licence ya EU,na Gari pia ntakupa uzungukie night club zote mpka uchoke,
Hapa IPO Night club moja ya wakenya kama ulivyozungumzia hapo juu ukanimbusha unaitwa KALABASH,ndo huwa naskia vijana wengi wa ngozi zetu hizi wanajitumbukiza huko,Mimi sijawahi Tia mguu labda kupita Kwa nje Tu.
Wabongo walio wengi huwa wanapenda kwenda nje kujiripua kikimbizi na kutobolea njia hiyo na sio wengi sana ambao wanapenda kutumia route ya kusoma,nadhani hili linachagizwa zaidi na gharama ndefu za kuandaa masomo nje ya Nchi,
Karibu Sana Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukija kihalali why nisikupokee mkuu, ilimradi usiwe na historia ya uhalifu au uvunjaji wowote wa kisheria ama kujihusisha na vikundi vya madawa ya kulevya.Hilo swala la vijana wa Tz hatuchangamkii fursa za nje ni kweli kabisa hivi mkuu nikijichanga changa hautanisaidia connection hata kazi ndogo ndogo za viwandani au mashambani
Hao watz ambao wako ulaya wenyewe kwa wenyewe hawapendani,unategemea akupe masada wewe uliye mbaliNyie mliopata fursa za kutangulia huko toeni miongozo mahususi kuwasaidia waafrika wenzenu conection za vyuo cheap,zenye course ambazo zinaweza kuwafanya Watanzania wanyonge ku afford,na wakifika huko wajilipue na fursa zilizopo huko na mwisho wa siku wa win.Ni rahisi kwa wazazi wengi kuwasupport watoto wao huko kwa masomo kwa vyuo ambavyo ni vya gharama nafuu.
Nikupe kisa kimoja hapa Singida,kuna mrombo alikuwa na shoeshine toka miaka ya tisini mwanzoni,aliajiri vijana wa kirombo kadha,kila baada ya mda flani alikuwa akiwatoa vijana hao wakiwa na akiba zao na wanafungua biashara kubwa.Hadi leo huyo jamaa ni tajiri,na kawatoa vijana kibao,na hiyo shoeshine inapiga kazi.
Nchi za wenzetu walitumia mianya hii kitambo na sasa wanalisha familia zao wakiwa huko.Watanzania uwe ndio mda wetu huu japo tumechelewa.
Huyu ndugu yangu tumpatie connectio ya kwa Ayatollah[emoji3].Bwana Utam pitia huku
Kweli kaka na hii inakuwa na changamoto kubwa lakini Kama ndio malengo yako lazma uwe na namna nyingine ya kuwezesha ifanikiweChangamoto ninayoiona mimi ni kupata mwenyeji kule. Wengine nauli, ujuzi, elimu na vitu vidogo vidogo vinaweza kupatikana. Lkn utaondoka unafikia wapi? Nani atakupa connection uanzie wapi?
Naomba tusaidiane hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshawahi kuishi Europe au USA,jama umeishi huko huwezi nashangaa,Mtz kabda hajapakia ndege Anaambiwa kabisa ukifika huko kaa mbali na wtz sio wazuri,Mkuu mbona hili ndio nasikia kwako, umejuaje hatupendani? Japo wenye roho mbaya kwenye jamii hawakosi
Hiyo "namna nyingine" ndo issue kiongozi. Magendo hayaruhusiwi.Kweli kaka na hii inakuwa na changamoto kubwa lakini Kama ndio malengo yako lazma uwe na namna nyingine ya kuwezesha ifanikiwe
Not TrueHao watz ambao wako ulaya wenyewe kwa wenyewe hawapendani,unategemea akupe masada wewe uliye mbali