Kwa Watanzania walio na malengo ya kuishi kutafuta kazi au kusoma nchini Ubelgiji au Uswisi someni hapa

Hahahaha,ungejua Parabora ni nani na anaishi wapi,hizi kongole/ujiko usingempatia.Uzuri Parabora anapitia sana maandishi na kupata nondo za kuwalisha vilaza kama nyie.

Parabora kanyage twendwe mpaka mijamaa ya Manzese na Kwa Mtogole ishushe miudenda!!

Kuwa mzalendo,ipende nchi yako.

Chukua tahadhari,korona ipo!!
Hapa duniani kuna watu wameteuliwa kula bata tu Kama nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaishi wapi mkuu hebu tuambie? Wewe ni mbongo mwenzangu najua ujuaji wetu ulivyo wa ujuaji wa kila kitu hata Kama hatujui na wivu uliopitiliza kwa waliotuzidi hatua, nina uwezo mkubwa wa kumjua mtu anaedanganya na lazma kwa uandishi wako huo elimu na viwango vyetu vya kufikiri na kuchambua vinatofautiana mbali sana.
Mkuu na wewe pitia mtandaoni ulete then ujibu maswali ndio utaona aina ya IQ yako ilivyo.

Mimi naamini wewe ndio kilaza that's why umejihami kwa kutukana pasipo na tusi, sawa wewe unaishi ushuani masaki, mikocheni na mbezi beach sio,πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ haya mkuu sisi wa kwa mtogole
 
Ndugu wa kwa mtogole huogopi kumjibu mshuwa wa masakiπŸ€”? Usipanick mkuu Jamii haikosi watu Kama hao
Mimi nilichoshangaa ni jamaa kuonesha Kama ananifahamuπŸ€£πŸ™ŒπŸΌ tz kweli hapana aisee
 
Ndugu wa kwa mtogole huogopi kumjibu mshuwa wa masakiπŸ€”? Usipanick mkuu Jamii haikosi watu Kama hao
Mimi nilichoshangaa ni jamaa kuonesha Kama ananifahamuπŸ€£πŸ™ŒπŸΌ tz kweli hapana aisee
Nimefatilia comment zake humu jamaa anaweza kuwa na utindio wa ubongoπŸ˜ƒπŸ˜ƒ kote huko yeye ni kutukana tu, halafu ni mfuasi wa kijani nadhani hajapewa posho nishampuuza siwezi kujibishana nae tena
 
Hehehehe,kumbe we gwiji,unanikumbusha Red Light Street ya hapa Amsterdam. Una pita na kukagua sampuli unayoitaka then unazama ndani na kumaliza genye zako.Karibu ujionee vituko!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehehe,kumbe we gwiji,unanikumbusha Red Light Street ya hapa Amsterdam. Una pita na kukagua sampuli unayoitaka then unazama ndani na kumaliza genye zako.Karibu ujionee vituko!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ya Amsterdam ni kubwa, nilikuwa naongelea ya Ghent ambayo ni ya kawaida sana. Kuna vitu tunafanya kama adventure ila ile pesa unayolipa kwa dakika 20 ukiicovert kwenye Tshs ni nyingi but unakuta unataka utest kitu nyeupe tu.
 
Relax kijana,utafika tu huku!!Siku ukiwa unakuja niambie nikupokee hapa Amsterdam,breki ya kwanza nakupeleka Red Street District ukazoee za majuu kwanza halafu uendelee na safari.
Ila hii lock down sio ya kitoto na mpaka safari zianze tena inaweza chukua ka muda tuna hamu ya kuja kusalimia,hatuna jinsi.

Hahahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha

Kumbe ni ndogo hiyo ya Ghent.Hii ya hapa ipo legally,ni wewe tu na hela yako kiroho safi Sio mambo ya kutongoza na kubembeleza weee utadhani ina tv.Ukiwa na ugwadu jongea pale,piga mti tambaa.

Ila korona hii kuna restrictions sana na uoga mwingi,kwa muuzaji na mnunuaji.
Hiyo ya Amsterdam ni kubwa, nilikuwa naongelea ya Ghent ambayo ni ya kawaida sana. Kuna vitu tunafanya kama adventure ila ile pesa unayolipa kwa dakika 20 ukiicovert kwenye Tshs ni nyingi but unakuta unataka utest kitu nyeupe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha,sina chama wala itikadi na sitegemei hizo posho.Zikoje hizo??Umetukanwa wapi?Hivi neno kilaza ni tusi kweli?Au matamanio ya kuja Ulaya yanakutoa uwezo wa kufikiri kijana wetu!!!
Nimefatilia comment zake humu jamaa anaweza kuwa na utindio wa ubongo[emoji2][emoji2] kote huko yeye ni kutukana tu, halafu ni mfuasi wa kijani nadhani hajapewa posho nishampuuza siwezi kujibishana nae tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaaa,

Usijali mkuu,wape vijana nondo za huku majuu ili janga la korona likipungua/likiisha wajilipue kuja.

Kuna changamoto zake sio za kitoto,lakini akizoea atainjoi na kufurahi sana.Ila kikubwa wakumbuke saving,vinginevyo hata nauli ya kuja kusalimia tu itakuwa shida.

Nina miaka zaidi ya 7 huku nimeona jamaa wenzetu,saving na kusafiri home ni taabu tupu!!!!

Ila korona imeharibu sana mifumo ya maisha huku kwa watasha!!

Karibu sana Parabora,naishi mtaa wa Stationslpein (Karibu na railway station),Central-Amsterdam.
Ndugu wa kwa mtogole huogopi kumjibu mshuwa wa masaki[emoji848]? Usipanick mkuu Jamii haikosi watu Kama hao
Mimi nilichoshangaa ni jamaa kuonesha Kama ananifahamu[emoji1787][emoji1373] tz kweli hapana aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vitu nikikumbuka huwa nabaki kucheka mwenyewe.
 
Wengine kufika tu daresilam ilikuwa kama bahati sana maana nimezaliwa kijijini ndani mnooo,sasa leo hii nije kitoboa sijui Belgium, it's real going to be unspeakable dream
Nothing is impossible.
 
Mkuu mbona hili ndio nasikia kwako, umejuaje hatupendani? Japo wenye roho mbaya kwenye jamii hawakosi
Watz ambao wanapendana na kushirikiana Ni wakutoka Znz tu,huku Bara akifika Europe au North America hata kama alikuwa house girl bongo hataki kushirikiana na wtz wenzake nakuwa mzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…