Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa duniani kuna watu wameteuliwa kula bata tu Kama nyie
Anaishi wapi mkuu hebu tuambie? Wewe ni mbongo mwenzangu najua ujuaji wetu ulivyo wa ujuaji wa kila kitu hata Kama hatujui na wivu uliopitiliza kwa waliotuzidi hatua, nina uwezo mkubwa wa kumjua mtu anaedanganya na lazma kwa uandishi wako huo elimu na viwango vyetu vya kufikiri na kuchambua vinatofautiana mbali sana.Hahahaha,ungejua Parabora ni nani na anaishi wapi,hizi kongole/ujiko usingempatia.Uzuri Parabora anapitia sana maandishi na kupata nondo za kuwalisha vilaza kama nyie.
Parabora kanyage twendwe mpaka mijamaa ya Manzese na Kwa Mtogole ishushe miudenda!!
Kuwa mzalendo,ipende nchi yako.
Chukua tahadhari,korona ipo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu wa kwa mtogole huogopi kumjibu mshuwa wa masakiπ€? Usipanick mkuu Jamii haikosi watu Kama haoAnaishi wapi mkuu hebu tuambie? Wewe ni mbongo mwenzangu najua ujuaji wetu ulivyo wa ujuaji wa kila kitu hata Kama hatujui na wivu uliopitiliza kwa waliotuzidi hatua, nina uwezo mkubwa wa kumjua mtu anaedanganya na lazma kwa uandishi wako huo elimu na viwango vyetu vya kufikiri na kuchambua vinatofautiana mbali sana.
Mkuu na wewe pitia mtandaoni ulete then ujibu maswali ndio utaona aina ya IQ yako ilivyo.
Mimi naamini wewe ndio kilaza that's why umejihami kwa kutukana pasipo na tusi, sawa wewe unaishi ushuani masaki, mikocheni na mbezi beach sio,πππ haya mkuu sisi wa kwa mtogole
Nimefatilia comment zake humu jamaa anaweza kuwa na utindio wa ubongoππ kote huko yeye ni kutukana tu, halafu ni mfuasi wa kijani nadhani hajapewa posho nishampuuza siwezi kujibishana nae tenaNdugu wa kwa mtogole huogopi kumjibu mshuwa wa masakiπ€? Usipanick mkuu Jamii haikosi watu Kama hao
Mimi nilichoshangaa ni jamaa kuonesha Kama ananifahamuπ€£ππΌ tz kweli hapana aisee
Umenikumbusha Ghent mkuu, palee Red Light District walikula hela yangu ikaniuma kishenzi. Nilipata msala hapo nikakaa kama wiki sita pale UZ-Ghent (hospital nadhani ni ya chuo). Pombe bei rahisi sana pia vyakula, nimepiga sana Martin na ile miwine yao ya kenye maboksi.
Hiyo ya Amsterdam ni kubwa, nilikuwa naongelea ya Ghent ambayo ni ya kawaida sana. Kuna vitu tunafanya kama adventure ila ile pesa unayolipa kwa dakika 20 ukiicovert kwenye Tshs ni nyingi but unakuta unataka utest kitu nyeupe tu.Hehehehe,kumbe we gwiji,unanikumbusha Red Light Street ya hapa Amsterdam. Una pita na kukagua sampuli unayoitaka then unazama ndani na kumaliza genye zako.Karibu ujionee vituko!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaishi wapi mkuu hebu tuambie? Wewe ni mbongo mwenzangu najua ujuaji wetu ulivyo wa ujuaji wa kila kitu hata Kama hatujui na wivu uliopitiliza kwa waliotuzidi hatua, nina uwezo mkubwa wa kumjua mtu anaedanganya na lazma kwa uandishi wako huo elimu na viwango vyetu vya kufikiri na kuchambua vinatofautiana mbali sana.
Mkuu na wewe pitia mtandaoni ulete then ujibu maswali ndio utaona aina ya IQ yako ilivyo.
Mimi naamini wewe ndio kilaza that's why umejihami kwa kutukana pasipo na tusi, sawa wewe unaishi ushuani masaki, mikocheni na mbezi beach sio,[emoji1][emoji1][emoji1] haya mkuu sisi wa kwa mtogole
Hiyo ya Amsterdam ni kubwa, nilikuwa naongelea ya Ghent ambayo ni ya kawaida sana. Kuna vitu tunafanya kama adventure ila ile pesa unayolipa kwa dakika 20 ukiicovert kwenye Tshs ni nyingi but unakuta unataka utest kitu nyeupe tu.
Nimefatilia comment zake humu jamaa anaweza kuwa na utindio wa ubongo[emoji2][emoji2] kote huko yeye ni kutukana tu, halafu ni mfuasi wa kijani nadhani hajapewa posho nishampuuza siwezi kujibishana nae tena
Ndugu wa kwa mtogole huogopi kumjibu mshuwa wa masaki[emoji848]? Usipanick mkuu Jamii haikosi watu Kama hao
Mimi nilichoshangaa ni jamaa kuonesha Kama ananifahamu[emoji1787][emoji1373] tz kweli hapana aisee
Kuna vitu nikikumbuka huwa nabaki kucheka mwenyewe.Hahahahaha
Kumbe ni ndogo hiyo ya Ghent.Hii ya hapa ipo legally,ni wewe tu na hela yako kiroho safi Sio mambo ya kutongoza na kubembeleza weee utadhani ina tv.Ukiwa na ugwadu jongea pale,piga mti tambaa.
Ila korona hii kuna restrictions sana na uoga mwingi,kwa muuzaji na mnunuaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano milioni 50 hivi kwa small au medium business ipiπππππππππππΌππΌππΌ
Nothing is impossible.Wengine kufika tu daresilam ilikuwa kama bahati sana maana nimezaliwa kijijini ndani mnooo,sasa leo hii nije kitoboa sijui Belgium, it's real going to be unspeakable dream
Watz ambao wanapendana na kushirikiana Ni wakutoka Znz tu,huku Bara akifika Europe au North America hata kama alikuwa house girl bongo hataki kushirikiana na wtz wenzake nakuwa mzunguMkuu mbona hili ndio nasikia kwako, umejuaje hatupendani? Japo wenye roho mbaya kwenye jamii hawakosi