Kwa Watanzania walio na malengo ya kuishi kutafuta kazi au kusoma nchini Ubelgiji au Uswisi someni hapa

I always have a dream to go pursue a Bachelor Degree at Aston Uni in the UK, then najilipua to either Uswisi or Scandinavian country.

But the reality seems to be against me. Days pass... nor local connection neither international connection! Age flyies... no money, no job. How will I break through? How will I break the code? My mind always 'keep loading...' to attempt those questions.

Mtu anazaliwa in poor background, live in poor life, die in poor life. The trap in vicious circle of poverty!! Otherwise Mwenyezi Mungu afanye miujiza upate 'zali'. Gaddem this life!!!

Thanks mkuu for the useful thread. It portrays valuable tips to fellas who envisage kujilipua ughaibuni and other like-minded people. Endelea kukaza huko huko bro. Get life bro. Africa is full of shitts! Leaders and decision makers do let this continent down. Were used to expect the unexpected. Life goz'on though.

Mambo mazuri yapo 'mbele'. Wacha niendelee kuota ndoto yangu ya mchana to join Aston Uni someday in future. Ila sizubai kungojea 'miujiza'... striving 24/7.

Msafiri kafiri haishi kubashiri. Safari na maisha!

-Kaveli-
Mungu atatenda kitu kwako mkuu usife moyo
 
Karibu mkuu na tuko pamoja.
Usiku kunakuwa kumetulia na usisahau niko lock-down
Umenikumbusha Ghent mkuu, palee Red Light District walikula hela yangu ikaniuma kishenzi. Nilipata msala hapo nikakaa kama wiki sita pale UZ-Ghent (hospital nadhani ni ya chuo). Pombe bei rahisi sana pia vyakula, nimepiga sana Martin na ile miwine yao ya kenye maboksi.
 
Maisha mazuri sana ule mji lazma uinjoy, 😃😃kwamba pesa yako ilikuuma?
 
Iliniuma kwa sababu nilichotarajia hkikuwa hivyo, Euro 50 yangu ikaenda hivyo na kwa siku nilikuwa napewa Euro 30 tu. lakini kweli.
 
Pole sana mkuu, ulishaondoka huko?
 
Ngoja corona iondoke, visa ziruhusiwe...
 
Mkuu Parabora nimefuatilia comments karibu zote ktk uzi wako huu leo walau umeongea mengi ya msingi yenyevmsaada kwa vijana sio km ule uzi wa Uswis uliokuwa umejikita kwenye kula bata na sehemu za starehe.

Sema shida inayotukabili vijana wengi humu ni pamoja na

*Level za elimu ya members walio wengi humu ni Diploma na high school pasi kuwa na taaluma zingine/Fani.
*Umri pia ni kikwazo kingine unakuta members wengi washagonga 30+ au 35 na ushee maana 25- wengi bado wako kwa wazazi ss unakuta umri wa kupewa kipaumbele na wenzetu wengi wameshavuka.
*Vipato duni vya kuwasafirisha watu kuanzia mchakato wa viza hadi kufika huko nao mtihani kwa baadhi ya members japo hili wanaweza kupambana nalo.
*Wenyeji wa kuwavuta huko nao mtihani..

Swali langu kwenu wenzetu mliojwishapata nafasi ya kuishi huko hv mmeshawahi japo kutenga wema kidogo ukaamua kusema sasa mm namvuta mbongo mwenzangu mmoja kila baada ya mwaka mmoja then ukamwambia wema huu utamlipa mwingine mbele???Kama ile ya PAY IT FORWARD ya bwana Dhar man?

Mm naamini sio kuwa kila mtanzania ni muhuni au anajihusisha na biashara haramu wengi ni waungwana ila wahuni wachache hawakosekani ila kiukweli km mngekuwa na moyo wa kuvuta wenzenu japo mmoja kwa miaka hata miwili kwenye akiba zetu za wema mngekuwa japo mna watu 3 ambao nao wangekuwa na wengine kadhaa nyuma yao tungekuwa tumefika mahali..
Hebu km vp ndugu zangu tuanze na hili wazo wema ni hazina ya baadae mm bw Dhar man huwa ananifubdisha vitu vingi sana japo najua wanaigiza ika ukweli vipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri mzuri sana huu mkuu
 
Ushauri mzuri sana huu mkuu
Nashukuru sana mkuu kwa kuu acknowledge ushauri wangu..

Na km kwa kuanzia unaweza ukaanza hata na mm then i will Pay it Forwad to another and another and another halafu tukiingia JF mkuu inakuwa full raha na sherehe kubwa sana..

Ukiona inafaa unaweza kunialika PM kwako,mm kwa sasa siwezi kuja maana najua kuna msururu wa maswali utakuwa unauliza huko.

By the way i wish you guys in the Diaspora good lucky and all the best.

Usiogope mkuu nicheki tu
 
Back
Top Bottom