Hodi humu ndani jamani.!
Anguko la bei ya Mafita Duniani linategemewa kuendelea kuporomoka hata ndani ya mwaka 2015.
Kutokana na anguko/poromoko la bei ya Mafuta Duniani.. Inasemekana kwamba hili tukio litapelekea kukua na kustawi vizuri kwa uchumi wa mataifa-yaendeleayo, tena hasa Afrika Mashariki.
Naomba tusaidiane katika kujuzana katika hili suala.. ni kivipi uchumi wa mataifa madogo utapata nafasi ya kukua vizuri?