Kwa watasha tu wa masuala ya uchumi

Kwa watasha tu wa masuala ya uchumi

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Hodi humu ndani jamani.!

Anguko la bei ya Mafita Duniani linategemewa kuendelea kuporomoka hata ndani ya mwaka 2015.

Kutokana na anguko/poromoko la bei ya Mafuta Duniani.. Inasemekana kwamba hili tukio litapelekea kukua na kustawi vizuri kwa uchumi wa mataifa-yaendeleayo, tena hasa Afrika Mashariki.

Naomba tusaidiane katika kujuzana katika hili suala.. ni kivipi uchumi wa mataifa madogo utapata nafasi ya kukua vizuri?
 
Bei ikiwa juu ya mafuta vitu vyote vinaongezeka bei usafarishaji wa vitu, gharama za uzalishaji hivyo bei ikipungua ya mafuta inasababisha bei ya vitu vingine kupungua. Hivyo sio Africa mashariki pekee bali ni kila mahali. Hivyo mafuta ni necessity au kiuchumi wanasema "inelastic" huwezi kukimbia bei ya mafuta!
 
Back
Top Bottom