Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,104
- 2,550
Samahani ni makosa tu madogo,ni draft ya Muungano wa Vijana wa Mara(MUVIMA).Utanisamehe wakupita.
Kwa kweli Mkoa wa Mara umetelekezwa sana kuna kipindi nilikuwa Mwanza wakati wa msimu wa kuwinda tulikuwa tunakwenda serengeti kuna hotel moja inaitwa Kijereshi Tended Camp, ipo mbugani tunapumzika hapo kama wiki siku ya kuondoka tunaingia porini kuwinda wanyama kibali tumekata Mwanza...kuna rafiki yangu alikuwa anatoka Musoma Mjini anakuja Lamadi nampa nyama anarudi Musoma.
Omongoreme,cjui wa kenyamonta,iramba,mesaga,majimoto ghasi Mwibhara.Usiwe na haraka tata,ushauri wenu nimeuchukua,wa kwamba watu waipitie kwanza draft kabla sijasajili.Nawaahidi,natafuta nafasi nitawatangazia ni lini tukaijadili draft hii kwa pamoja.Na members mtapendekeza venue.I'm serious.Saganka angusha hiyo draft ya katiba watu watoe comment rather than rushing na kusajili umoja.
Kwa mara ya kwanza naungana na wewe vilivyo.Katika kuujenga mkoa wetu tunakukaribisha hata kama orign yako sio mara,nitawatangazia siku ya kuwa na kikao cha mapitio ya draft ya katiba.Kwa kweli Mkoa wa Mara umetelekezwa sana kuna kipindi nilikuwa Mwanza wakati wa msimu wa kuwinda tulikuwa tunakwenda serengeti kuna hotel moja inaitwa Kijereshi Tended Camp, ipo mbugani tunapumzika hapo kama wiki siku ya kuondoka tunaingia porini kuwinda wanyama kibali tumekata Mwanza...kuna rafiki yangu alikuwa anatoka Musoma Mjini anakuja Lamadi nampa nyama anarudi Musoma.
We jamaa ni mtu wa "system", hainwezekani uzijue sehemu zote hivi hivi tu. By the way ni juzi tu nimetoka Musoma, hakika panasikitisha, cha maana kinachofanyika ni ukarabati tu wa barabara ya Musoma-Mwanza
Hapo kwenye red, inanishangaza sana kwani yule mzungu "PAUL" akija na timu yake wanaua wanyama ovyo mamia kwa mamia, wanaondoka na ngozi na vichwa tu. Sisi wakazi wa hapo tukigusa hata sungura unapigwa risasi. Jamaa hawa wana hela sana hata mkuu wa nchi analijua hili. Hoteli yao ndiyo imeshika namba moja kwa ubora duniani.
hapo kwenye nyeusi, ile hoteli ni kweli ni ya mkuu wa kaya inaitwa BILILA
Hapo ndo unataka kunichekesha mpaka mbavu ziniume bure, wale Wanatta, Waikoma na Waisenye wao wakishasikia Paul Jones alimaarufu PTJ kaingia ndio pona pona yao.Wanaenda getini kusubilia wale wanyama anaowatungua wao wanagawana nyama lakini wao sasa wakanyage kwenye mbuga ndo watakijua cha moto yaani kama vile Jones kanunua mbuga yote kwa hiyo akija anafanya anachokita hakuna anaekohoa yeyote.Chezeya pesa wewe hata mkuu wa Wilaya anaomba apointment kuwonana na tycoon. Ujanja hamna ataendelea kuwanyanyasa maana si mnataka awajengee uwanja pale maeneo ya Nyichoka sasa mtafanyeje lazima mtii. Na kama hujui uwanja wenyewe ungewaletea sana fursa watu wa Mara lakini watu wa Arusha wanaupiga vita eti utaua Kilimanjaro International Airport na kwa kuwa wapo makini kuliko wana Mara wenzangu wanaweza wakashinda na suala la uwanja likawa historia
Mwaka juzi kuna viongozi wa serikali waliosindikiza mwenge walitafutiwa kitoweo na askari game porini, mzungu akakataa akawapa hela wakanunue ng'ombe,
Tusaidiane kuonyeshana hizo fursa kaka.Ni kujizalilisha tu hamna lingine maana kila mtu anafikiri eti mzungu ni kila kitu kwanza wale wazungu wenyewe ni makaburu so wana njaa kuliko hata sie maana hata tonge linalodondoka wanaliokota.Hapo kama walitoa ng'ombe mmoja walimwandikia tajiri kuwa wametoa ng'ombe 10 kwa ajili ya kusuport mbio za Mwenge na pia wanapiga picha kama vielelezo.So ukiajiliwa pale unatakiwa ujue kupiga picha hahahaha I love Mara especially Serengeti and Tarime districts maana ndo naona kuna vimbwanga sana.Watu wa huko ni maskin lakini wamekalia fursa na hawajui kama wamezikalia ndo shida.
Na mbaya zaidi nyie vijana wa mkoa huo wa Mara mkishasoma hamtaki kurudi kwenu kuijenga Mara kwa hiyo msilalame, mi chuoni nilisoma na kijana flan wa Mara nilivopata job huko kukatokea kazi nyingine nikamuunganisha akaniambia kuwa hawezi kurudi Mara kwa kuwa hatapata heshima kama Mkurya alieko Dar, nikamwambia maisha ni kujipanga aje tupige mzigo hata kwa miaka miwili then tusepe akagoma kabisa.Mwenzio nimechuma Mara nimerudi kulia Dar kiulaini na yeye bado anahangaika na Dar yake tu
Omongoreme,cjui wa kenyamonta,iramba,mesaga,majimoto ghasi Mwibhara.Usiwe na haraka tata,ushauri wenu nimeuchukua,wa kwamba watu waipitie kwanza draft kabla sijasajili.Nawaahidi,natafuta nafasi nitawatangazia ni lini tukaijadili draft hii kwa pamoja.Na members mtapendekeza venue.I'm serious.
Eni wa Kenyamonta mgharuka,komnada hale. 0782 577 006 totunane omorito ili tulianzishe kwa pamojaEni wa Iramba mura,
WildCard umesema jambo muhimu nililosahau,tunawadharau wahaya,lakini hawa jamaa ni wazalendo,wanajenga kwao nyumba nzuri,mjini wanajenga za biashara.Sisi tumekuwa limbukeni mno.Tumebaki kubaguana kikabila,vikabila vyenyewe vidogo,halafu maskini sana,shida tupu.Nimeandaa katiba,nataka nipate reg. ili tuanzishe muungano wa vijana wa Mara,naomba mniunge mkono.
Eni wa Kenyamonta mgharuka,komnada hale. 0782 577 006 totunane omorito ili tulianzishe kwa pamoja