kuwa siriasi, kipara ni ishara umekuwa mtu mzima na usiogope kama ulikuwa na nywele watu wanafahamu unazo kama huna pia basi maana ulipozaliwa hukuviomba ila vilikuja vyenyewe ila sio kuwashauri wanaume wavae mawigi kama mabwabwa. Acha zirudi ziikotoka tu
Haya sasa kwahiyo saa hii demu akikwambia "mwanaume gani unashindwa kuninunulia hata wigi la laki tatu" na wewe unamjibu ," wewe umeshawahi kuninunulia wigi hata mara moja" 😂😂😂😂