Unywele nlionao sio powaMpaji Mungu njoo π nikununulie kawigi
Do you know muonekano ndio unawapa watu wengine pesaBora nibakie kipara tu kikubwa tafuta hela mkuu ikupe furaha na amani muonekano bila hela hauna faida yoyote
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Muonekano gani unaompa mtu pesa ??Do you know muonekano ndio unawapa watu wengine pesa
Haina madhara mkuuMuonekano gani unaompa mtu pesa ??
Sasa mkuu unajua kuwa kuna watu wanatapeli watu kuwa kuna mafuta na spray za kuotesha nywele. Wewe umefatilia kwa kina madhara ya hiyo gundi au unapromote vitu usivyovifahamu
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Mwanangu unatoa factsNadhani ni suala la kisaikolojia tu, ni taswira binafsi ya mwili.
Inapotokea kwamba hujiamini/hujipendi kwasababu ya muonekano wako, unaanza kufikiria kujifanyia 'marekebisho'.
Lakini kwani ukiamua kulitatua tatizo kwenye mzizi(hizo hisia za kutojiamini) si utakuwa umefanya vizuri zaidi?
Maana wanaume tunasumbuliwa sana na taswira ya mwili(urefu, ndevu, vipara, ukubwa wa uume...). Ukiruhusu hayo mawazo yakutawale si afya ya akili itavurugika?
Tena PULILIZI linaleta kipara vibaya mnoππdronedrake Kaka ako huyu hapa Sasa.
Jamaa yupo kimyaaa.Tena PULILIZI linaleta kipara vibaya mnoππ
Ziache hivyo hivyo tuMkija na solution ya mvi mniite wakuu, hizi mambo za kurithi sio poa asee!!
Heri nianze kutafuta hela aisee kipara kwenye ujana siyo poaAround milion 3, Muhimbili wanatoa hiyo huduma pia kuna waturuki wana clinic yao hapo Dar
Hakika mkuu, mi ninao umechukua karibu kichwa kizima, umeniharibia mwonekano wangu , navaa sana kofia mara nyingi ili kuuficha.Nikipata hela lazima niutibuHeri nianze kutafuta hela aisee kipara kwenye ujana siyo poa
Noma sana mkuu!Ziache hivyo hivyo tu
Heri kuutibu ila siyo wigi,wigi bado utakuwa huna confidenceHakika mkuu, mi ninao umechukua karibu kichwa kizima, umeniharibia mwonekano wangu , navaa sana kofia mara nyingi ili kuuficha.Nikipata hela lazima niutibu
π€£π€£Dawa ya upara ni kunyoa kipara