kwa watumishi wa serikali wapha

kwa watumishi wa serikali wapha

ukabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
212
Reaction score
68
habari wana jf ninajambo napenda kufaham je mfano mtu umeajiriwa na serikali kwa maana kwamba umepewa barua ya ajira tarehe 17/07/2018 na ikafika mwezi tarehe 25/07/2018 ukawa hujapata mshahara ambayo ni obvious isingekua rahsi mwezi ukapita ikafika tarehe 25/08/2018 ukawa bado haujaingia kwenye payrol ikafika 25/09/2018 ukapata mshahara wa kwanza swali langu ni je wakati wa kudai malimbikizo ya mshahara utadai na zile sku 13 za mwez wa saba au zile zinapotezewa unadai mwezi wa nane tu ? msaada kwa mwenye ufaham..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili uweze kukidhi vigezo vya kulipwa mshahara kwa mwezi husika sharti uwe umetumikia angalau nusu ya mwezi huo. Hivyo ajira ya kuanzia tarehe 1-14 unalipwa mwezi husika, endapo utaajiriwa kuanzia tarehe 15-31 mwezi husika imekula kwako na hata ukidai huna chako. Kwa kesi yako mwezi wa Saba hudai mshahara hivyo utaanzia mshahara Mwezi Agosti. Jaza fomu za Arrears umpe HR wako akufanyie wepesi wa malipo toka hazina. Note: epuka kupost inshu za kazini kwenye social media ina athari zake mkuuu.
 
Back
Top Bottom