ukabu
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 212
- 68
habari wana jf ninajambo napenda kufaham je mfano mtu umeajiriwa na serikali kwa maana kwamba umepewa barua ya ajira tarehe 17/07/2018 na ikafika mwezi tarehe 25/07/2018 ukawa hujapata mshahara ambayo ni obvious isingekua rahsi mwezi ukapita ikafika tarehe 25/08/2018 ukawa bado haujaingia kwenye payrol ikafika 25/09/2018 ukapata mshahara wa kwanza swali langu ni je wakati wa kudai malimbikizo ya mshahara utadai na zile sku 13 za mwez wa saba au zile zinapotezewa unadai mwezi wa nane tu ? msaada kwa mwenye ufaham..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app