Kwa wazazi, hususan wababa na binti zao

Kwa wazazi, hususan wababa na binti zao

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Sina uhakika kama suala hili lilliletwa hapa na kujadiliwa.

Suala lenyewe ni lipi? Ni kuhusu bikra ya binti aliyepevuka, ambaye ana umri wa miaka 18.

Takriban kama mwezi sasa, mwana Hip-hop wa Marekani ajulikanaye kama T.I. alizua mtafaruku huko Marekani na kwingineko pale aliposema kwamba huwa anaenda na binti yake mwenye umri wa miaka 18 kwenye miadi ya daktari wa kuzalisha watoto na afya za wanawake [OBGYN] ili kuhakiki kama bintiye bado anayo bikira yake.

Jambo hili lilishtua watu wengi sana na kuzua mjadala mkali sana kwenye majukwaa mbalimbali kiasi cha kumfanya T.I. aombe radhi na kutoa ufafanuzi wa maneno aliyoyasema.

Maoni yangu binafsi ni kwamba, binti wa miaka 18 ni mkubwa vya kutosha.

Kuambatana naye kwa daktari ili kumkagua bikira yake ni kuiingilia faragha yake.

Ndiyo, sikatai kwamba baba kumlinda bintiye dhidi ya ‘fu.ck boys’ ni jambo zuri.

Lakini, hiyo haimaanishi mtu ndo uvuke mipaka kiasi hicho.

The whole thing is just gross to me.

What say you mdau? Yea or nay?
 
Walaji wa vitu vya wenzao kwa uharibifu hawapendi kuliwa vya kwao kwa nama ile ile walivyo haribu vya wenzao.

Hicho kitu hakuna tofauti na Reed Dance ya kusini mwa Afrika.
All girls are required to undergo a virginity test before they are allowed to participate in a royal dance. In recent years the testing practice has been met with some opposition.

Kama zoezi hili likiratibiwa na mama zao au viongozi wa kijamii sio mbaya sana lakini linaporatibiwa na kusimamiwa na baba inakuwa limevuka mipaka in my humble opinion.
Naona linaweza kusababisha Incest kwa namna flani.

Baba unaweza kupata tamaa ya kufanya uzinduzi mwenyewe hasa kama haukai na mama mzazi wa binti wako.
Kukata utepe ni zoezi linaloshawishi sana ktk maisha ya binadamu.
 
To me it's a grass... Grass kali kabisa.. Za Tunduma au Arusha.
 
vp kama binti alitumia dildo, mzazi utafanyaje.?
 
Baba akishindwa kumlea binti kiasi cha kutokaa na raha bila kumchunga, baba atakuwa kakosea malezi.

Utamchunga vipi binti anapoenda shule na kwingine mbali ya macho yako?

Na ukipima ukakuta hiyo bikra haipo kwa mfano, utafanyaje?

Na utajuaje kwamba imetolewa kwa matakwa yake na si vinginevyo?
 
Baba akishindwa kumlea binti kiasi cha kutokaa na raha bila kumchunga, baba atakuwa kakosea malezi.

Utamchunga vipi binti anapoenda shule na kwingine mbali ya macho yako?

Na ukipima ukakuta hiyo bikra haipo kwa mfano, utafanyaje?

Na utajuaje kwamba imetolewa kwa matakwa yake na si vinginevyo?

Halafu hicho ki-hymen kinaweza kutoka bila hata sexual intercourse.

Na kibaya zaidi, kwa nini T.I. autangazie ulimwengu?

Weird!!!
 
Nyani Ngabu, Maoni mengi yanaonyesha jinsi watu wasivyo na misingi ya malezi bora. Sidhani kama alikuwa anakwenda chumba cha daktari kuchungulia uchi wa binti, vinginevyo angefanya mwenyewe nyumbani tu.

Binti atakua mtu mzima sio kwa definition ya serikali kwamba miaka 18, bali kwa kuingia kwenye ngono. How? Akiolewa huyo ni mtu mzima tayari, akianza sex hata kama hajaolewa huyo ni mtu mzima.

Wengi hawajui kwamba kijana kuhesabiwa mtu mzima ni pale anapoanza kuwa active kwenye sex, hapo hata mzazi hawezi kumbadilisha tena kwa jambo lolote. Ndio maana wazazi zamani waliwatimua nyumbani vijana walioanza ngono mapema kwa sababu wametakiwa kujitegemea.
 
Nyenyere,

Hmm....kwa hiyo ni sawa kwa mzazi wa kiume kumchinguza bintiye wa umri wa miaka 18 ambaye tayari keshaanza na college?
 
Kwani alikiwa akimchunguloa ama anasubiri majibu ya daktari?

Hata kama haingii kwenye chumba cha uchunguzi, kitendo cha kumpeleka kuchunguzwa bikira ni uingiliaji wa faragha.
 
Titicomb, 2222Sio kweli. Yaani apate tamaa kwa binti yake? Noo...! Kukata utepe linashawishije hilo?. Isitoshe Hujui tu wengi wanaikimbia hiyo kazi
 
Back
Top Bottom