Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Sina uhakika kama suala hili lilliletwa hapa na kujadiliwa.
Suala lenyewe ni lipi? Ni kuhusu bikra ya binti aliyepevuka, ambaye ana umri wa miaka 18.
Takriban kama mwezi sasa, mwana Hip-hop wa Marekani ajulikanaye kama T.I. alizua mtafaruku huko Marekani na kwingineko pale aliposema kwamba huwa anaenda na binti yake mwenye umri wa miaka 18 kwenye miadi ya daktari wa kuzalisha watoto na afya za wanawake [OBGYN] ili kuhakiki kama bintiye bado anayo bikira yake.
Jambo hili lilishtua watu wengi sana na kuzua mjadala mkali sana kwenye majukwaa mbalimbali kiasi cha kumfanya T.I. aombe radhi na kutoa ufafanuzi wa maneno aliyoyasema.
Maoni yangu binafsi ni kwamba, binti wa miaka 18 ni mkubwa vya kutosha.
Kuambatana naye kwa daktari ili kumkagua bikira yake ni kuiingilia faragha yake.
Ndiyo, sikatai kwamba baba kumlinda bintiye dhidi ya ‘fu.ck boys’ ni jambo zuri.
Lakini, hiyo haimaanishi mtu ndo uvuke mipaka kiasi hicho.
The whole thing is just gross to me.
What say you mdau? Yea or nay?