Kwa wazazi , mtoto wako mfungulie Account Facebook ,instagram , twitter akizaliwa tu.

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Mtoto wako akizaliwa mfungulie account za kijamii na uanze kuzikuza taratibu.

Hii itamsaidia akikuwa Kwa sasa hivi soko la ajira na fursa zote limeshikiliwa na teknolojia .

Ili kulinda privacy za mtoto usiweke au kupost picha yake bila sababu.

Mfano mtoto wa diamond anaingiza pesa nyingi tu.

Mtoto badala ya kuangalia cartoon mfundishe namna ya Kununua na kuuza kupitia online markerts .

Usisubiri mtoto amalize chuo ndo atengeneze hela.

Hakikisha unamtengeza mtoto kisasa ili aendane na teknolojia simple and easy.
 
Mama anatoka kujifungua anapata kifungua kinywa anaenda kufungua account ya mwanae, akikua mtoto anafungua kesi duh! Kufungua tu
 
Na sio account ya BANK 🏧
KAZI NI KIPIMO CHA UTU
 
Mfungulie account ya benki uwe unamuingizia angalau 10,000 kwa mwezi kama una uwezo. Itamsaidia sana.
 
  • Thanks
Reactions: 650
Mtoto wako akizaliwa mfungulie account za kijamii na uanze kuzikuza taratibu.

Hii itamsaidia akikuwa Kwa sasa hivi soko la ajira na fursa zote limeshikiliwa na teknolojia .

Ili kulinda privacy za mtoto usiweke au kupost picha yake bila sababu.

Mfano mtoto wa diamond anaingiza pesa nyingi tu.

Mtoto badala ya kuangalia cartoon mfundishe namna ya Kununua na kuuza kupitia online markerts .

Usisubiri mtoto amalize chuo ndo atengeneze hela.

Hakikisha unamtengeza mtoto kisasa ili aendane na teknolojia simple and easy.
Duh
 
Katika vitu ambavyo vina develop haraka ni mitandao ya kijamii..
Inaongezeka na kukua haraka mingine ikipoteza umaarufu.
Sio ya kutegemea kabisa..
Miaka 12 ya mwanao atakapo anza kujitambua,baadhi ya mitandao ya sasa haitakuwa maarufu kama ilivyo leo.
Mnaikumbuka black berry na mtandao wao wa kijamii?
Uliitwa BBQ sikumbuki vzr.
Ma bank pekee ndo yataweza kuweka mali ya mwanao.
Iyo social atazikutaga zinazo trend enz zao
 
Aisee
 
Back
Top Bottom