@LucasMwashambwa ni teepee.Atamjaza mtoto upompompo tu.UMESAHAU KUMFUNGULIA MTOTO MCHANGA AKAUNTI YA JAMII FORUMS ILI AWE ANAKULA NONDO ZA LUCAS MWASHAMBA.
DuhMtoto wako akizaliwa mfungulie account za kijamii na uanze kuzikuza taratibu.
Hii itamsaidia akikuwa Kwa sasa hivi soko la ajira na fursa zote limeshikiliwa na teknolojia .
Ili kulinda privacy za mtoto usiweke au kupost picha yake bila sababu.
Mfano mtoto wa diamond anaingiza pesa nyingi tu.
Mtoto badala ya kuangalia cartoon mfundishe namna ya Kununua na kuuza kupitia online markerts .
Usisubiri mtoto amalize chuo ndo atengeneze hela.
Hakikisha unamtengeza mtoto kisasa ili aendane na teknolojia simple and easy.
🤣🤣🤣🥴UMESAHAU KUMFUNGULIA MTOTO MCHANGA AKAUNTI YA JAMII FORUMS ILI AWE ANAKULA NONDO ZA LUCAS MWASHAMBA.
AiseeKatika vitu ambavyo vina develop haraka ni mitandao ya kijamii..
Inaongezeka na kukua haraka mingine ikipoteza umaarufu.
Sio ya kutegemea kabisa..
Miaka 12 ya mwanao atakapo anza kujitambua,baadhi ya mitandao ya sasa haitakuwa maarufu kama ilivyo leo.
Mnaikumbuka black berry na mtandao wao wa kijamii?
Uliitwa BBQ sikumbuki vzr.
Ma bank pekee ndo yataweza kuweka mali ya mwanao.
Iyo social atazikutaga zinazo trend enz zao