Kwa mtazamo wangu naona anaenda vizuri, ishu ya utosi kucheza huchukua muda kichwa kukosa hilo sio tatizo kabisamwanangu ana miaka miwili na nusu ila utosi wa mbele kuna sehemu ndogo bado inacheza, yuko kawaida anakula vizuri na kucheza, kuongea pia imekuwa shida, anajuwa kuhesabu, kusoma na kuimba ila hawez unganisha sentensi, ukimuuliza anajibu yasiyoeleweka, wakuu nifanyeje ukizingatia ni my first born naogopa. Help please!!!!
Nafikiri kuna haya maziwa ya viwandani..ninayokumbuka ni S26 lakini yako varieties kulingana na umri wa mtoto na yameandikwa kabisaHivi kama mtoto hashibi mabadala wa maziwa ya mama ni chakula kipi au maziwa ya Aina gani yata mfaaa, mtoto ana mwezi mmoja na nusu.
Yanakuwa bei gani mshana Jr:Nafikiri kuna haya maziwa ya viwandani..ninayokumbuka ni s26 lakini yako varieties kulingana na umri wa mtoto na yameandikwa kabisa
OK shukrani mkuu.Kwasasa sijui ila sio chini ya elfu kumi kwa Kopo dogo
Naomba umjibu na wiser1 kuhusu mtoto kukojoa sana anapokunywa ujiUnapomlisha Mtoto hasa anaponyonya kwa mama kuna kanuni ambazo wataalam wa Afya huelekeza namna ya kumpakata mtoto na kumnyonyesha ili apunguze kiasi cha gesi kinachoingia tumboni,pia kama ni maziwa ya kopo basi ni muhimu unapompatia mtoto maziwa kwa chupa Maziwa yawe yamejaa pale shingoni mwa nyonyo kusiwe na nafasi inayoruhusu hewa kupita na kujaa kwa mtoto,na pia hata ukiwa unamlisha kwa kijiko mtoto akishamaliza kula au kiwango cha maziwa au uji uliomuandalia kwisha ....mweke begani na umsugue taratibu mgongoni atapiga mbwewe na hata kama alikua analia atanyamaza na kutulia kabisa hapo ndipo gesi ambayo husumbua watoto wengi inakua imetoka.
Unapomlisha Mtoto hasa anaponyonya kwa mama kuna kanuni ambazo wataalam wa Afya huelekeza namna ya kumpakata mtoto na kumnyonyesha ili apunguze kiasi cha gesi kinachoingia tumboni,pia kama ni maziwa ya kopo basi ni muhimu unapompatia mtoto maziwa kwa chupa Maziwa yawe yamejaa pale shingoni mwa nyonyo kusiwe na nafasi inayoruhusu hewa kupita na kujaa kwa mtoto,na pia hata ukiwa unamlisha kwa kijiko mtoto akishamaliza kula au kiwango cha maziwa au uji uliomuandalia kwisha ....mweke begani na umsugue taratibu mgongoni atapiga mbwewe na hata kama alikua analia atanyamaza na kutulia kabisa hapo ndipo gesi ambayo husumbua watoto wengi inakua imetoka.
Si jambo jema kabisa ukiacha risk za kumwangusha lakini medulla yake bado ni teketeke kwahiyo jiepushe kabisa na hiyo michezoWakuu hivi kumrusharusha au kumswing mtoto kuna madhara yeyote??? Has a kwa watoto chini ya mwezi mmoja? Maana wangu nikimswing kidogo tu kanakuwa kama kanakakamaa hivi then kanaachia. Msaada maana sie maana mimi na wife wote wageni katika tasnia hii mbaya zaidi napenda sana kumchezea chezea mwanangu
Si jambo jema kabisa ukiacha risk za kumwangusha lakini medulla yake bado ni teketeke kwahiyo jiepushe kabisa na hiyo michezo
Pia haishauriwi hata mara moja kumpiga nyuma ya mgongo kama kapaliwa sana sana unampulizia kwenye paji la uso taratibu na kupaliwa kutaisha
Ni vema ukajua kwa uhakika tatizo hasa ni nini ili upate solution ya kufaa.Hivi kama mtoto hashibi mabadala wa maziwa ya mama ni chakula kipi au maziwa ya Aina gani yata mfaaa, mtoto ana mwezi mmoja na nusu.
Kuna hivi vitu sijajua vina ithibati kiasi ganiNi vema ukajua kwa uhakika tatizo hasa ni nini ili upate solution ya kufaa.
Mtoto kutoshiba, kwa maoni yangu, pengine sio tatizo bali ni dalili ya mwanzo ya tatizo. Inaweza kuwa maziwa ya mama hayatoki kwa kiwango cha kawaida ambacho kingemtosha mtoto wake. Kama ni hivyo, ni vema kutafuta namna ya kuongeza kiwango cha maziwa ya mama (hasa angalia aina ya vyakula anavyokula mama na kiwango cha ulaji wake).
"Balanced diet" inasaidia kuongeza kiwango cha maziwa ya mama (lactation). Hata kiwango cha maji anayokunywa mama kinaathiri sana kiwango cha maziwa. Na pia lifestyle inaweza kuathiri kiwango cha maziwa (mf. mama anapata muda wa kutosha kupumzika? ana msongo wa mawazo? anatumia kileo/vileo?). Inawezekana pia matiti ya mama yanahitaji massaging wakati wa kunyonyesha. Kwa hakika zipo namna nyingi tu na ni vema kujaribu hizo kabla ya ku-opt maziwa ya kopo hasa katika miezi ya mwanzoni ya mtoto.