Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Hivi kwanini watoto huwa hawapendi kufunikwa wakilala teh sio tatizo ila nataka kujua
Mbali ya kuwa watt hawapendi kujifunika na kesi ya joto pia ila binafsi yangu sipendi kumfunika mtt kwa kesi ya usalama wanapenda kuvutavuta nguo ili atafute mwishoni zimfunike asiweze kupumua mmmmmmh nawazaga sana bora nimvalishe mikanyela mumo ya kulalia full joto
 
hili nalo la kuzingatia
 
Habari wapendwa, mtoto Wangu wa miez 8 wa kike, yaani tangia juzi hatakI kula wala kunyonya na ana nyonya kidogo sana pia chakula akila anatapika chote kabisa. Nimeenda hospital karibu tatu wamempima lakinI hakuna tatizo. Kiukwel hali ya mtoto Wangu ni tete kabisa maana analia sana mpaka anageuza macho. Naombeni msaada wakati na hangaika hospital mbalimbali .
Sina amani kabisa kwa sasa.
 
Yawezekana mwanao ana UTI jaribu kampima hiyo
 
Mkuu mshana jr, kiuzi kina uhusiano gani na kwikwi. Huwa tunafanya ila sijaona logic....
Na mimi niliwahi kuuliza hilo swali. Daktari akanijibu vizuri sana kwamba kwikwi husababishwa na mabadiliko ya mwili, mabadiliko yoyote yale mwilini yanaweza kusababisha kwikwi. tiba ya kwikwi ni jaribu kuvuta pumzi refu na kuishusha taratibu.hii husaidia kuweka mwili sawa. Sababu mtoto mdogo huwezi kumwambia avute pumzi refu ndio huwa tunamuwekea kiuzi kwenye paji la uso. Ile humpa concentration na kumfanya avute pumzi taratibu
 
Huenda hiyo ya kibamia ni chai, kama ana kibamia ndo asili yake ha ha ha ngoja nifanye research zaidi
Kibamia ni maumbile ya asili. Kuna kabila moja barani Asia huwa hawakati kabisa lakini ni full vibamia
 
Je mtoto humchukua miezi mingap kuanza kuota meno?
Hii haina formula japo ndani ya mwaka mmoja meno yale ya mwanzo hutakiwa kuonekana
Je mtoto anatakiwa aongezekea kg kwa mwezi?
Bado Inategemea lishe na mwili wa mtoto lakini ni vema aongezeke si chini ya kilo moja kila mwezi
Je mtoto anapolalala muda mfupi na kustuka ana tatizo?
Sehemu anapolala na hali ya hewa pia lakini mara nyingi tatizo hilo hutatuliwa kwa kumpaka ndimu tumboni kifuani na kwenye paji la uso
Je mtoto anatakiwa kuanza kupewa uji baada ya miezi mingapi?
Wengine huwahishwa hata ndani ya miezi 5 hasa wa kiume
Kweli kulea ni kazi ila kuna raha yake sometimes
Tunakuombea sana ulezi wa siku hizi ni changamoto kubwa
Grow up my babygirl, Mungu anilindie hii roho yangu

cc mshana
 
Hii ni product ya forever living au inapatikana kwenye maduka ya madawa?Nina mtoto wa miezi miwili na nusu,nataka nikianza kazi niwe nakamua maziwa ya kunywa nikiwa sipo.Na mimi sina maziwa mengi.Hii inaweza kunisaidia.
Nakushauri tumia vitu natural
 
Sio joto tu hata kukiwa na baridi, atarusha rusha miguu hadi atoe shuka ndio alale, mara nyingi sana huwa naona kwa watoto
Mimi wangu nilishabeba adi kwa dokta maana nikikua simuelewi.yaaan ukimfunika shuka ataamka tu hata kama kalaa Masaa matano!!na sikua na uzoefu na watoto.ila sasa dawa yao ni kuwavalisha nguo nzito tu unamuacha abingilike weee kitandani adi kukuche!!!
 
niasidie aina ya vyakula mamy... maji najitahidi kumpa au nimpe na juisi?

Mtoto asipopata maji ya kutosha anakuwa dehydrated hivyo atakuwa irritable (mkali, analia, anakereka, ukimpa maji anayanywa kwa kufakamia(eager to drink))

Hivyo kama wa kwako hana hizo dalili basi usitilie shaka kiwango cha maji unachompatia na anachotoa.

Swali la kizushi : imekuwaje umeanza kumpa chakula kabla hajatimiza miezi 6?
 
Mkuu vyakula bado nampa maziwa nilikuwa najiandaa sababu tarehe 2/11 anatimiza miezi sita
 
Mkuu vyakula bado nampa maziwa nilikuwa najiandaa sababu tarehe 2/11 anatimiza miezi sita

Chakula cha kuanzia nacho ni uji plain wa mahindi na diluted maziwa ya ng'ombe (kama hayatakuwa na tatizo na mtoto), pia unaweza kutumia formulated milk kulingana na uzito wake
 
Chakula cha kuanzia nacho ni uji plain wa mahindi na diluted maziwa ya ng'ombe (kama hayatakuwa na tatizo na mtoto), pia unaweza kutumia formulated milk kulingana na uzito wake
sawa mkuu.. ukimpa chakula cha kawaida ukasaga kuna ubaya?
 
Back
Top Bottom