Mbali ya kuwa watt hawapendi kujifunika na kesi ya joto pia ila binafsi yangu sipendi kumfunika mtt kwa kesi ya usalama wanapenda kuvutavuta nguo ili atafute mwishoni zimfunike asiweze kupumua mmmmmmh nawazaga sana bora nimvalishe mikanyela mumo ya kulalia full jotoHivi kwanini watoto huwa hawapendi kufunikwa wakilala teh sio tatizo ila nataka kujua
hili nalo la kuzingatiaMbali ya kuwa watt hawapendi kujifunika na kesi ya joto pia ila binafsi yangu sipendi kumfunika mtt kwa kesi ya usalama wanapenda kuvutavuta nguo ili atafute mwishoni zimfunike asiweze kupumua mmmmmmh nawazaga sana bora nimvalishe mikanyela mumo ya kulalia full joto
Yawezekana mwanao ana UTI jaribu kampima hiyoHabari wapendwa, mtoto Wangu wa miez 8 wa kike, yaani tangia juzi hatakI kula wala kunyonya na ana nyonya kidogo sana pia chakula akila anatapika chote kabisa. Nimeenda hospital karibu tatu wamempima lakinI hakuna tatizo. Kiukwel hali ya mtoto Wangu ni tete kabisa maana analia sana mpaka anageuza macho. Naombeni msaada wakati na hangaika hospital mbalimbali .
Sina amani kabisa kwa sasa.
Nimempeleka kcmc wamempima lakinI hana tatizo hata mmoja, itabid ni hamie kwa watalaam wengineYawezekana mwanao ana UTI jaribu kampima hiyo
Hapana kuwa mtulivuNimempeleka kcmc wamempima lakinI hana tatizo hata mmoja, itabid ni hamie kwa watalaam wengine
Na mimi niliwahi kuuliza hilo swali. Daktari akanijibu vizuri sana kwamba kwikwi husababishwa na mabadiliko ya mwili, mabadiliko yoyote yale mwilini yanaweza kusababisha kwikwi. tiba ya kwikwi ni jaribu kuvuta pumzi refu na kuishusha taratibu.hii husaidia kuweka mwili sawa. Sababu mtoto mdogo huwezi kumwambia avute pumzi refu ndio huwa tunamuwekea kiuzi kwenye paji la uso. Ile humpa concentration na kumfanya avute pumzi taratibuMkuu mshana jr, kiuzi kina uhusiano gani na kwikwi. Huwa tunafanya ila sijaona logic....
Kibamia ni maumbile ya asili. Kuna kabila moja barani Asia huwa hawakati kabisa lakini ni full vibamiaHuenda hiyo ya kibamia ni chai, kama ana kibamia ndo asili yake ha ha ha ngoja nifanye research zaidi
Je mtoto humchukua miezi mingap kuanza kuota meno?
Hii haina formula japo ndani ya mwaka mmoja meno yale ya mwanzo hutakiwa kuonekana
Je mtoto anatakiwa aongezekea kg kwa mwezi?
Bado Inategemea lishe na mwili wa mtoto lakini ni vema aongezeke si chini ya kilo moja kila mwezi
Je mtoto anapolalala muda mfupi na kustuka ana tatizo?
Sehemu anapolala na hali ya hewa pia lakini mara nyingi tatizo hilo hutatuliwa kwa kumpaka ndimu tumboni kifuani na kwenye paji la uso
Je mtoto anatakiwa kuanza kupewa uji baada ya miezi mingapi?
Wengine huwahishwa hata ndani ya miezi 5 hasa wa kiume
Kweli kulea ni kazi ila kuna raha yake sometimes
Tunakuombea sana ulezi wa siku hizi ni changamoto kubwa
Grow up my babygirl, Mungu anilindie hii roho yangu
cc mshana
Nakushauri tumia vitu naturalHii ni product ya forever living au inapatikana kwenye maduka ya madawa?Nina mtoto wa miezi miwili na nusu,nataka nikianza kazi niwe nakamua maziwa ya kunywa nikiwa sipo.Na mimi sina maziwa mengi.Hii inaweza kunisaidia.
Asante mkuuMaji unayompa ni kidogo
Mimi wangu nilishabeba adi kwa dokta maana nikikua simuelewi.yaaan ukimfunika shuka ataamka tu hata kama kalaa Masaa matano!!na sikua na uzoefu na watoto.ila sasa dawa yao ni kuwavalisha nguo nzito tu unamuacha abingilike weee kitandani adi kukuche!!!Sio joto tu hata kukiwa na baridi, atarusha rusha miguu hadi atoe shuka ndio alale, mara nyingi sana huwa naona kwa watoto
niasidie aina ya vyakula mamy... maji najitahidi kumpa au nimpe na juisi?
Nina kababy boy
Asante mkuu .. Raha kuwa mama[emoji182]Teh yaani kumbe ushaotewa, roho imeniuma nilikuwa nakuzengea. Ila all in all a child is a blessing. Hongera sana
Mkuu vyakula bado nampa maziwa nilikuwa najiandaa sababu tarehe 2/11 anatimiza miezi sitaMtoto asipopata maji ya kutosha anakuwa dehydrated hivyo atakuwa irritable (mkali, analia, anakereka, ukimpa maji anayanywa kwa kufakamia(eager to drink))
Hivyo kama wa kwako hana hizo dalili basi usitilie shaka kiwango cha maji unachompatia na anachotoa.
Swali la kizushi : imekuwaje umeanza kumpa chakula kabla hajatimiza miezi 6?
Mkuu vyakula bado nampa maziwa nilikuwa najiandaa sababu tarehe 2/11 anatimiza miezi sita
sawa mkuu.. ukimpa chakula cha kawaida ukasaga kuna ubaya?Chakula cha kuanzia nacho ni uji plain wa mahindi na diluted maziwa ya ng'ombe (kama hayatakuwa na tatizo na mtoto), pia unaweza kutumia formulated milk kulingana na uzito wake
sawa mkuu.. ukimpa chakula cha kawaida ukasaga kuna ubaya?