miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
haya nitafanya hivyo kwa hiyo akiingia miezi sita nachuja unga au napika kama ulivyo?It's early, tumbo linapaswa kuzoea mdogo mdogo introduce one food at a time itasaidia kuscreen out hata vinavyoweza kumdhuru, allergies etc
haya nitafanya hivyo kwa hiyo akiingia miezi sita nachuja unga au napika kama ulivyo?
asante sana OmertaTwo first weeks unaweza kuuchekecha kupata uji mlainiiiiii ili aanze kujizoesha vitu vingine mdomoni, later on anaweza kupata ambao haujachekechwa..... Kuanzia mwezi wa saba unaweza kuintroduce new food at a time (kila wiki)
we njoo uje na pesaKaribu.... Nitakuja kumsalimia mpwa siku moja, maadam mama yake nimezubaa mpaka akapitiwa kimwendokasi..... Teh!
we njoo uje na pesa
Ya mtotoMamaaaa eeeeeeh! Chaaaaa umezidi sasa.
Ya kwako au ya mtoto?
Ya mtoto
PouwaOoooh ya mtoto mpya lazima hiyo hata bila kuniambia Kuna article naiandaa kuhusu vyakula vya watoto wachaga ikikamilika nitashare na wewe.
Njoo chemba unipe directions
Aaamenwanasema hakuna mtu anaeweza kukufundisha malezi ila mimi naamini uzoefu wa watu wengine ukiuweka vyema kichwani mwako unaweza kukuboreshea familia yako
Asante sana @MshanaJr
Asanteni sana mliotoa mchango wenu hapa
asanteni nyote mnaosoma na kupita🙂😉
si vizuri hivyoWanawake wa siku hizi wanajua kupanua tuu,hopeless. Ahsante mkuu kwa mada hiz.
Kutoa maneno kama haya inaonyesha huna malezi yenye maadili. Mungu saidia ili tupate wazazi wenye hekima kwa malezi mazuri ya watoto wetu ambao ni taifa la kesho. Ww kama ni baba wa familia unatoa maneno ya shombo kiasi hicho sina imani na maadili ya watoto wakoWanawake wa siku hizi wanajua kupanua tuu,hopeless. Ahsante mkuu kwa mada hiz.
Kutoa maneno kama haya inaonyesha huna malezi yenye maadili. Mungu saidia ili tupate wazazi wenye hekima kwa malezi mazuri ya watoto wetu ambao ni taifa la kesho. Ww kama ni baba wa familia unatoa maneno ya shombo kiasi hicho sina imani na maadili ya watoto wako
Hhahahaha so anatakiwa afanyiwe muda gani mshana?Maalum kwa watoto wa kiume
Si vema kumuwahisha tohara mtoto. ..hii ni kwa faida yake ukubwani, tohara inayowahi husababisha vibamia
na nini husababisha mtoto mchanga kujaa gesi tumboniMaziwa ya ng'ombe kwa mtoto mdogo si mazuri sana humletea mtoto gesi na kuvimbiwa
ok thanks hivo anatakiwa awe na ratiba yenye uwiano mzuri na anyonye kwa kiasi au kwa siku mara ngapi?Kwa sehemu kubwa ni chakula na ratiba yake na ukizingatia tumbo lake bado changa