Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Kwa experience binafsi
Watoto wengi husumbua hasa mida ya usiku mpaka miezi 3, baada ya miezi mitatu anaanza kuwa mpole, mcheshi.
Mtoto akiwa analia chini ya miezi 3 jitahid mbebe huku ukimuimbia, mtoto hulala kwa haraka.

Ni vizuri mama anayenyonyesha kula mapapai na maji mengi, hii humsaidia mtoto kupata choo kiurahisi, pia kuchezesha miguu ya mtoto kama vile anaendesha baiskeli inamsaidia kupata choo na kupunguza gas tumboni.

Ikitokea mtoto ame sweat mbadilishe nguo haraka hii husaidia kumuepusha na pheunomia.
Usimpe mtoto chini ya miaka 2 uji wa ulezi maana unaziba choo, utamtesa mtoto.
 
Ikitokea mtoto ame sweat mbadilishe nguo haraka hii husaidia kumuepusha na pheunomia.
Usimpe mtoto chini ya miaka 2 uji wa ulezi maana unaziba choo, utamtesa mtoto[emoji1545]
 
umenena mkuu
 
Nimeipenda sana kaka , siku nikioa nikapata mtoto basi nitajitaidi kuutembelea huu uzi.
 
Mwanangu wa miezi miwili hua anashituka shituka akiwa amelala iwe mchana ama usiku. Hicho kitunguu swaumu kitamfaa
 
Kwanza hongera kwa uzii huu. Mwanangu wa miezi miwili hua anashituka shituka akiwa usingizini na kulia. Kitunguu swaumu unasaga punje ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…