killy mayebo
Member
- Feb 22, 2022
- 51
- 34
Asante sana mjombaMoja au mbili usizidishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mjombaMoja au mbili usizidishe
Ponda paka kwenye paji la uso na viganjani mikono na miguuKitunguu unakifanyaje ili kiwe dawa hata mm mwanangu anashtuka harafu analia nifenyeje hicho kitunguu
Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Dada unachoambiwa na mshana ni sahihi kabisa mm nimetahiriwa nikiwa na miaka 15 kipindi naenda shule ya bordingi coz nilikuwa nachekwa Huko shule saizi mtalimbo wangu alhamndullahi si haba , pia mwanangu ana miaka Saba sasa simtahiri mapema mpka afike miaka 15 Kwa faida yake hapo badae.Huenda hiyo ya kibamia ni chai, kama ana kibamia ndo asili yake ha ha ha ngoja nifanye research zaidi
wana furaha kuliko watoto wa milo saba
Mmh pole sana kwa hili naomba muda tafadhaliAnko mshana. Mwanangu wa miezi minne anasumbuliwa na mafua yale makavu ambayo hata akipiga chafya hayatoki vizuri. Usiku ukifika kuanzia mda wa saa 12 huwa yanam'bana alafu kwenye mida ya saa 2 usiku kile kibaridi kikitoka yanamuachia ikifika saa 7 na kuendelea yanam'bana, hivi hamna dawa za kienyeji unaweza nisaidia naona dawa za hospitalini bado hazijafua dafu.
Sawa mjomba zimefika..wengine wanasema eti itakuwa vinyama vya puani eti vitakwisha vyenyewe mi naona kama anateseka wakati wa usikuMmh pole sana kwa hili naomba muda tafadhali
Kuna vitu anaviona vya kutisha Lakini wewe huvioni.. Mwogeshee maji ya chumvi kabla ya kulala hiyo hali itaishaWanandugu nakuja kwenu mnipe mwangaza kidogo. Mwanangu wa miezi mitano ameanzisha tabia ya kulialia kila anapotaka kulala au anapoamka tena usiku mkubwa sana. Analia mpaka unajiuliza analia nini
Sawa mjomba mana du ni noma sana akiliamsha ni hatari na nusuKuna vitu anaviona vya kutisha Lakini wewe huvioni.. Mwogeshee maji ya chumvi kabla ya kulala hiyo hali itaisha
Mjomba naona matokeo ni mazuri sana Mungu akubaliki kwa kutuletea maarifa haya. Kulia kapunguza sana na hata akiamka ni kufurahi tu.Kuna vitu anaviona vya kutisha Lakini wewe huvioni.. Mwogeshee maji ya chumvi kabla ya kulala hiyo hali itaisha