Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Huenda hiyo ya kibamia ni chai, kama ana kibamia ndo asili yake ha ha ha ngoja nifanye research zaidi
Dada unachoambiwa na mshana ni sahihi kabisa mm nimetahiriwa nikiwa na miaka 15 kipindi naenda shule ya bordingi coz nilikuwa nachekwa Huko shule saizi mtalimbo wangu alhamndullahi si haba , pia mwanangu ana miaka Saba sasa simtahiri mapema mpka afike miaka 15 Kwa faida yake hapo badae.
 
Mimi nina changamoto ya mwanangu ana mwaka na miezi sita hataki kufunikwa na shuka usiku na maeneo ninayoishi yana baridi usiku mbezi beach juu,ukimfunika ujue anaamka tu nakulia
 
Hilo sio tatizo kabisa.. Ni hulka tuu
 
Anko mshana. Mwanangu wa miezi minne anasumbuliwa na mafua yale makavu ambayo hata akipiga chafya hayatoki vizuri. Usiku ukifika kuanzia mda wa saa 12 huwa yanam'bana alafu kwenye mida ya saa 2 usiku kile kibaridi kikitoka yanamuachia ikifika saa 7 na kuendelea yanam'bana, hivi hamna dawa za kienyeji unaweza nisaidia naona dawa za hospitalini bado hazijafua dafu.
 
Mmh pole sana kwa hili naomba muda tafadhali
 
Wanandugu nakuja kwenu mnipe mwangaza kidogo. Mwanangu wa miezi mitano ameanzisha tabia ya kulialia kila anapotaka kulala au anapoamka tena usiku mkubwa sana. Analia mpaka unajiuliza analia nini
 
Kuna vitu anaviona vya kutisha Lakini wewe huvioni.. Mwogeshee maji ya chumvi kabla ya kulala hiyo hali itaisha
 
Back
Top Bottom