FrankMakeps
Member
- Apr 1, 2013
- 96
- 81
braza nakutafuta pm umefungaPonda paka kwenye paji la uso na viganjani mikono na miguu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
braza nakutafuta pm umefungaPonda paka kwenye paji la uso na viganjani mikono na miguu
sawa bossNaku PM subiri
je kinatoa harufu au uchafu wowote kama majimaji hivi??jamani msaada, mwanangu ana wiki moja lakini mpaka sasa kitovu chake hakijasinyaa vizuri, tatizo nini
Ndugu Wazazi/Walezi. Hii ni kukuarifu kuwa kituo cha katuni cha Nickelodeon kuanzia jana Jumamosi tarehe 20 Agosti, 2022 kimeanza kuwaonyesha wanandoa wapenzi wa jinsia moja kwenye moja ya mfululizo wao uitwao The Loud House. Tafadhali tuangalie kila wakati watoto wetu wanatazama nini. Mungu atubariki sote ...Nilipokea hii na kuangalia mtandaoni. .Ni kweli! Kwa sasa chaneli ya Nickelodeon the Children inaendesha mfululizo wa katuni ili kutangaza Ushoga miongoni mwa watoto. Jina la katuni ni "Loud House". Mnamo 2014 walitoa katuni iliyopewa jina la "The Legend of Korra" ili kukuza mapenzi ya jinsia mbili. Mfululizo huo ni onyesho la kwanza la Nickelodeon katika historia kuangazia wenzi wa ndoa wa jinsia moja. Uamuzi wa kuangazia wenzi wa ndoa wa jinsia moja kwenye mpango wa watoto unaripotiwa kuwa na maoni mazuri sana. Nani anajua nini kitatolewa baadaye! JIHADHARI na kile ulichonacho nyumbani kwako ambacho kinaweza kuwapoteza watoto wako. JUA AINA YA KATUNI WANAZOANGALIA WATOTO WAKO. TAFADHALI ZUIA CHANNEL HII AU UZUIE WATOTO WAKO KUITAZAMA HII!!! SHARE HII PLS!! HIKI NI KIPINDI CHA SIKUKUU NA TUNAHITAJI KUWA MAKINI
Ngono za jinsia moja in mpango wa ibilisi kuiangudha dunia yetu hii tangu zama za kale.Linda wanao mkinge na,athari za utandawazi kwa ajili yakesho yake na kizazi chake.Mungu Awabarik.Shukran sana mkuu!
Asee pole sana, mwanangu pia ana hili tatizo yani akipona haipiti tena wiki mafua yanarudi kwa kasiJamani wakubwa mwanangu anasumbuliwa sana na mafua ni dawa gani nzuri inaweza mtibu yasiwe yanaludi mala kwa mala. Ana miezi 9
Angalieni allergyAsee pole sana, mwanangu pia ana hili tatizo yani akipona haipiti tena wiki mafua yanarudi kwa kasi
Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
Sio kweliJuzi kati nilikua nimekaa maeneo flani na washkaji!!
Ktk piga piga stori tukajikuta tumezama kwny ishu ya ushoga na hii ni baada ya jamaa mmoja kipande cha mtu kukatiza karibu na meza yetu!!
Mi nilivyompiga jicho yule jamaa mikato yake nikawaambia jamaa zangu,huyu mtu mbona kama 'sio sio'?
Ndo stori zikaanzia hapo!!
Pale kulikua na mdada wale washikaji wako naye ofisi moja!!
Yule mdada akaanza kutupa mkasa wake!!
Anasema yy ana watoto wawili wote wakike!!
Amekaa takribani miaka 4 toka ajifungue mtoto wake wa mwisho!!
2020 akawa anataka apate mtoto lkn wa kiume!
Akaenda kuonana na Daktari wake AghaKhan!!
Daktari akamuuliza kipindi chote alichokaa bila kuzaa alikua anatumia njia gani kuzuia ujauzito!?
Akajibu alikua anatumia vidonge vinaitwa P2!!
Daktari akamshauri nakumwambia vidonge hivyo si vizuri sababu ukipata mtoto wa kiume baada ya matumizi ya P2 kwa muda mrefu mara nyingi zinafanya homoni za kiume ziwe chini mno hivyo ukipata mtoto wa kiume mwny homoni chache za kiume mara nyingi na asilimia kubwa utaweza pata mtoto mwenye uelekeo wa ushoga!!
Dada anasema kuthibitisha hilo wakafanya vipimo na majibu yakawa vilevile alivyosema Daktari!!
Daktari akamshauri kuna dawa atumie kwa miaka miwili baada ya hapo ndo anaweza akapata mtoto wa kiume mwenye asilimia kubwa na homoni za kiume!!
Dada anasema sasa kashamaliza dozi na kapima kila kitu kiko sawa!!
Kiukweli niliondoka pale nikiwa na mawazo na maswali lukuki!!
Nasikia hizi dawa zinatumika sana uswahili,kama hii stori aliyotoa yule dada ina ukweli basi baada ya miaka kadhaa hali itakua mbaya sana!!
Wataalamu wa afya hebu tuwekeni sawa kwenye hili otherwise tunatengeneza kizazi kijacho cha hatari hasa upande wa ushoga!!
Nawasilisha!!
Wapendwa mimi sina uhakika na hili lakini nimeogopa na siwezi kukaa nalo kimya.Hebu na nyie lioneni na wale walioko kwenye mazingira hayo mjue cha kufanya
Una mtoto?je kinatoa harufu au uchafu wowote kama majimaji hivi??