Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Kama uko sehem ambapo NAKIETE wapo, nenda wanadawa ya mafua nzuri kweli unampakia anapolala
Wanauza kimoja 2,000
Pia hakikisha usafi muda wote sehem anapolala kusiwe na hali ya vumbi vumbi
Insitwaje? Niko karibu na Nakiete ya Mwenge sababu naishi Sinza
 
Wakuu nimekuja tena kama mnavyojua uleaji ulivyo. Mwanangu anavipele vikubwa vikubwa vinamsumbua sana, dawa nilizotumia naona zinatuliza alafu vinamkaa mda mfupi vinaludi tena. Mwenye kujua dawa nzuri mniambie.
IMG_20230224_001309_777.jpg
 
Wakuu nimekuja tena kama mnavyojua uleaji ulivyo. Mwanangu anavipele vikubwa vikubwa vinamsumbua sana, dawa nilizotumia naona zinatuliza alafu vinamkaa mda mfupi vinaludi tena. Mwenye kujua dawa nzuri mniambie.View attachment 2527975
Hapo naona kuna mawili ukajaribu kuyacheki
Allergy
Minyoo
Au alternatively check mchafuko wa damu kama hauko mbali na Pwani nikuelekeze mahali pazuri penye tiba sahihi
 
Back
Top Bottom