Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Vitu kama vitu gani mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitu kama vitu gani mkuu?
na vitabu vyenye story za kiwakiKuna vinywaji vya shurubati pia
na hapa ndowazazi wengi tunafeli unapoendekeza ubusy kwenye shughuli zetu tunasahau kukagua watoto wetu plus mambo wanayojifunza mashuleniTena hivi ndio sumu mbaya zaidi
Katika vitu vya kupunguza kuwapa aau kutowapa watoto ni hizi shurubati, kwanza zina sukari sanaaa. Pia sio afya kwa mtoto kabisaKuna vinywaji vya shurubati pia
Check na daktari bingwa hayo ni maambukizi.. Sorry for late replyHabali za masiku humu ndani. Naja tena kunachangamoto imemkuta mwanangu wa Mwaka Mmoja na Miezi minne. Ametoka utando mweupe kama maziwa ziwa kwenye ulimi, Mashavu na mpaka mdomoni. Nani mwenye kujua tiba yake
NI kweli kabisa, waje wataalam watupe maelekezo.Makuzi ya mtoto kiakili
Makuzi ya mtoto kimwili
Makuzi ya mtoto kimaadili
Naamini tuna wataalam wengi kwenye hizo nyanja ambao watakuja na mada zenye kujenga na kuelimishana.
Hii hali imemtokea mwanangu....naomba kujua dawa yake maana anakohoa balaaZa siku nyingi anko, naomba kuuliza dawa nzuri ya kikohozi kwa mtoto anae kalibia kufunga mwaka mana anakohoa mpaka anatapika. Dawa nilizotumia MUCOLYN, ZEN COFFEE, PRINATRIM, hata kama kuna mtu anajua dawa za kienyeji anijuze.
Vyema naomba tuwasiliane, 0653 794796.kwa ajili ya malezi ya watoto.Asante.Wengi wetu humu tunalea ama watoto wetu ama watoto wa ndugu jamaa na marafiki.
Tumekuwa na mada maalum nyingi za mambo tofauti kama urembo magari simu n.k. lakini hatujawahi kuwa na mada hii maalum ya watoto.
Kumlea mtoto tangu kutungwa kwa mimba mpaka kuzaliwa na hatimaye kulelewa mpaka kuvuka kile kipindi cha hatari si jambo dogo.
Changamoto ni nyingi hasa na zingine hatujui jinsi ya kuzitatua lakini tukiwa na hii mada hapa jukwaani tutashirikishana na kujuzana mengi kwa haraka na uhakika zaidi.
Kuna vitu vidogo vidogo ambavyo havihitaji daktari au ufumbuzi wake ni kama huduma ya kwanza kabla hujapata usaidizi mwingine. HII NI TOFAUTI NA JF DOCTOR.
Kwa mfano, ufanyeje;
- Mtoto anapolialia
- Mtoto anapopata gesi tumboni
- Mtoto anapopaliwa kila akila chochote
- Mtoto anaposhtuka shtuka usiku na kulia sana nk k
Hatari zimnyemeleazo mtoto;
- Umeme
- Maji
- Moto
- Mwanga wa Tv
- Simu, mawimbi yake
- Vyombo na vitu mbalimbali
- Madawa na vipodozi nk nk
Hii ni mada pana yenye mambo mengi mno.
Kwa mfano kitunguu saumu ni tiba kwa mtoto anayelia na kushtuka usiku, Kijiko cha asali ni tiba kwa mtoto anayekohoa mfululizo (ukiacha kifua na mafua), Vitu kama mahirizi ya kiunoni na mkononi havimsaidii mtoto, Muda mwingi kumvalisha mtoto nguo nyingi humsababishia nimonia n.k.
Mambo ni mengi...
IKIWAPENDEZA ITAKUWA NI MADA MAALUMU YA WATOTO..
Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha..!
Haina afya sana hiiIkiwa jiran amefungia wanae getini kwake mm sijaweka ukuta ama geti. Hii inamaana dunia imegeuka.
View attachment 2742865
View attachment 2742866
Yaani ni mwendo wakununiana.. maisha ma geti ya dsm
Hili jambo ni gumu lenye kuhitaji tafakuri jadidi nitarejeaMsaada wenu
Watoto wa mtaa wetu nyumba kama 20 wanafungiwa magetini, bila shaka hii ni kutokana na matukio kadhaa ya ulawiti na kumomonyoka maadili na wavuta bangi waliozagaa mtaani.
Msaada.
Kwa kuwa watoto wasipo changamana hukosa mambo mengi muhmambayo wangeshare pamoja nifanye nn watoto wangu wasikose jambo hili muhm katika umri utotoni
Niongezee hapa, kwamba masuala mengi yanaendelea katika jamii moja wapo ni aina ya wazazi.Msaada wenu
Watoto wa mtaa wetu nyumba kama 20 wanafungiwa magetini, bila shaka hii ni kutokana na matukio kadhaa ya ulawiti na kumomonyoka maadili na wavuta bangi waliozagaa mtaani.
Msaada.
Kwa kuwa watoto wasipo changamana hukosa mambo mengi muhmambayo wangeshare pamoja nifanye nn watoto wangu wasikose jambo hili muhm katika umri utotoni
Wakati wa kwenda kulala chukua Kijino kimoja cha chumvi ya mawe changanya kwenye beseni la maji ya vuguvugu kisha muogeshe usimfute mwache yakaukie mwiliniNaombeni ushauli . Nina mtoto anaekalibia kufunga miaka miwili.. Usiku hua anasumbua sana yaani analia lia hovyo na tabia kainza kama mwezi hivi na anakuwa na hasila kali hataki mtu yoyote amshike iwe mimi baba yake au mama yake. Je atakuwa anasumbuliwa na ndoto mbaya ? Ama nimakuzi tu ya mtoto