Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Hii ya kitunguu saumu naomba unisaidie maana mwanangu anashtuka mara kwa mara
 
Pia niwaonye mnaolisha watoto machipsi mayai mara mabiscut so mazuri kwa watoto, wangu ana miez 7 lakini nakula nae nguna mezan
 
Si vyakula vizuri hata kidogo kwa mtoto
 
Naomba kufahamu uhusiano wa mtoto kuumwa tumbo na kulia sana nyakati za usiku... Kwani hilo tumbo huwa linajua kuwa saiv ni usiku ndiposa linauma???

Lizzy, King'asti, Evelyn Salt mukujeee
Kuna sababu za vyakula na kujaa gesi
Maumivu yoyote mwilini hukolea usiku mwili ukiwa umepumzika
Kuna tiba ya kupakana kitunguu saumu tumboni
 
Nini chanzo cha msichana anapozaa kuharibika umbo na sura?

Mimi nimezaa na msichana wangu na analea kwao kwao hakosi kitu na mimi najikaza nampa pesa ya matumiz lkn amechakaa sana anamiez miwili toka ajifungue yaan sura yake yote ipo kwa mwanangu Millen_happy
Nilikuwa na mipango tuish wote ila Sasa ni shingo upande
 
Yeye ndo kafanya uitwe baba, kakuletea mtoto bila shaka ni furaha Kwako afu sahivi unakuja kuongea shombo juu yake, miezi miwili huyo bado ni mzazi shape yake haijarudi katika hali yake
Usamehewe bure.... Bora wali maharage kuliko wewe
 
Vijana hawa, hawajui mwanamke kujifungua (kutoa kiumbe nje toka tumboni) kunaathiri vipi mwili wa mwanamke!!!
 
Yeye ndo kafanya uitwe baba, kakuletea mtoto bila shaka ni furaha Kwako afu sahivi unakuja kuongea shombo juu yake, miezi miwili huyo bado ni mzazi shape yake haijarudi katika hali yake
Usamehewe bure.... Bora wali maharage kuliko wewe

Amuache amalize 6months , kama hajapata kidume cha mbegu zaidi yake..
 
Back
Top Bottom