Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Mshana kwakuangalia apo uyo mtoto itakua ni ndoto tu yakawaida or mapepo
 
Hiyo sio ndoto ya kawaida hata kidogo kwa haraka inachekesha ila ukiwa mzazi inasikitisha mno
 
Kama mzazi inasikitisha na kuumiza pia hope alie chukua video hii ni binti Wa kazi mzazi kama mzazi awezi fanya kitu kama ichi kinacho umiza uyu mtoto ni Mdogo mno sizani ata mwaka na nusu kama kafikisha
 
Nakubaliana nawe aliyechukua video hii si mzazi bali yaweza kuwa beki3 au ndugu...ila kama kweli ni mzazi basi kazi ipo
 
Hivi na mtoto kulala vibaya inakuaga ni kurithi au anaona nafasi kubwa anaamua kujiachia,maana wangu namlaza katikati ya kitanda ila atajivutaaaaa hadi anakuja ubavuni na usipokua makini unaweza kumpiga kipepsi maana anajikunja kwa chini mbavuni kwangu
 
Hapana anatafuta ukaribu na joto la mzazi...kumbuka soi hili joto la kawaida. ..anajisikia salama zaidi pembeni ya ubavu wako...it's too natural
 
Ndo hadi kupandishiana miguu,mbona nnalo...asante [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanatofautiana eeh, mie wangu hapendi habari za kukumbatiwa wala kusogelewa, ukimsogelea nae anahama teh
I wish nae akiwa anakuakua awe hivo,yaani kuna muda hadi namwekea mito na kitambaa nachomfutia maziwa usiku ili apate kiharufu changu halafu nahama ila wapiiii,atashtukia tu kimchezo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Ha ha ha bora huyo anaekufata, kuna muda usiku kunakuwa na baridi natamani nimsogelee apate joto, yani nikimsogelea anahama nikimfata anaamka anakaa anatambaa hadi kwenye kona ya kitanda ha ha ha nabaki kucheka tu
 
Hahaha huyo wako mwisho khaaaa hadi anakukimbia [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom