Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Niko poa mamy... Huyu baby boy ndio ananichanganya mpaka nachizika!!
My dear baby boy si mchezo eti? Hata mi miezi ya mwanzo nikiipata fresh, choo alikuwa hapati vizuri, tumbo lilikuwa linakuwa gumu na kitovu kilikuwa kinatoka nje kama kiputo. Shughuli usiku, tunapokezana kubembeleza. Lkn ajabu alipofika 3 months hali ikaanza kutulia, taratibu mpk ikawa normal. Saivi nashkuru he is fine.
Na hii imekuwa tofauti na dada zake. Ye kaja na makeke. [emoji23]
 
My dear baby boy si mchezo eti? Hata mi miezi ya mwanzo nikiipata fresh, choo alikuwa hapati vizuri, tumbo lilikuwa linakuwa gumu na kitovu kilikuwa kinatoka nje kama kiputo. Shughuli usiku, tunapokezana kubembeleza. Lkn ajabu alipofika 3 months hali ikaanza kutulia, taratibu mpk ikawa normal. Saivi nashkuru he is fine.
Na hii imekuwa tofauti na dada zake.
Ye kaja na makeke. [emoji23]

Dah asante kwa kunitia moyo aisee... Be blessed
 
Kukabiliana na tatizo la gas na kulia lia usiku, pamoja na kutumia kitunguu saumu uwe unamzoesha kulalia tumbo badala ya mgongo au ubavu. Issue za gas hutazisikia kamwe. Mtoto atakuwa analala vizuri kwa masaa ya kutosha.
Kuhusu kujigeuza huwa wanajigeuza wenyewe bila tatizo. Unaweza kumlaza hivi hata akiwa na mwezi mmoja
 
Usisahau na ile ya kumuweka mtoto begani na kumsugua( masaging )mgongoni
 
Habari za jioni wazazi/walezi katija hii mada, nina swali moja.

Je kuna uwezekano wa kujua kama mtoto wa kiume ni rijali? Hasa akiwa katika umri wa miezi???

Asanteni

CL
 
Sijui kama ni kweli kisayansi ila dr wa watoto mmoja alichek akasema
 
yupo sawa kijana wangu akiwa 2 years, inawezekana kujua wanadai
 
Habari za jioni wazazi/walezi katija hii mada, nina swali moja.

Je kuna uwezekano wa kujua kama mtoto wa kiume ni rijali? Hasa akiwa katika umri wa miezi???

Asanteni

CL
Yeah tangu miezi mitano hupata erection alfajiri au asubuhi unaweza pia kujaribu (not very recommended though)kumsugua kidudu chake taratibu uone kama kitasimama! Kumbuka usifanye hivyo kila siku
 
Nini chanzo cha msichana anapozaa kuharibika umbo na sura?

Mimi nimezaa na msichana wangu na analea kwao kwao hakosi kitu na mimi najikaza nampa pesa ya matumiz lkn amechakaa sana anamiez miwili toka ajifungue yaan sura yake yote ipo kwa mwanangu Millen_happy
Nilikuwa na mipango tuish wote ila Sasa ni shingo upande

Mungu akusamehe bure.....
 
Yeah tangu miezi mitano hupata erection alfajiri au asubuhi unaweza pia kujaribu (not very recommended though)kumsugua kidudu chake taratibu uone kama kitasimama! Kumbuka usifanye hivyo kila siku
Wangu ana wiki ila wakati nambadili usiku nakuta kasimamisha Je ni tatizo hilo?
 
Back
Top Bottom