Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #461
Hizi zilikuwa ni imani tu na kukosa elimu yale yanayoitwa meno ya plastic ni meno ya utotoni ambayo huja kung'oka baadae, binafsi sijawahi kukutana nayoHabari za leo wazazi / walezi katika mada hii....
Kuna dhana ilijengeka miaka ya nyuma na ninasikia kuna jamii bado inaendelea kupractice hii kitu.
Ilisemekana watoto wanaoanza kuota meno huwa wanaanza kuota meno ya plastic na yale meno yalikuwa yanang'olewa.
Mbona siku hizi hili jambo halivumi sana? Ina maana watoto wa siku hizi hawaoti hayo meno???
Karibuni
C.c. mshana jr, Evelyn Salt, angel nylon, Lizzy na wazazi / walezi wote.