Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Hapana kijiti hakina mahusiano kabisa na kusafishwa
Asante sana kwa ushaur, maana kuna watu walikua wanamwambia kwa sababu haendi mwezin zile damu zinazotakiwa kutoka kila mwez zinaganda sehem badala ya kutoka nje, so siku akitoa kijiti lazima asafishwe, na alikua anaogopa kweli
 
Asante sana kwa ushaur,,maana kuna watu walikua wanamwambia kwa sababu haendi mwezin zile damu zinazotakiwa kutoka kila mwez zinaganda sehem badala ya kutoka nje,,so siku akitoa kijiti lazima asafishwe,, na alikua anaogopa kweli
Mmh Mmh hii ni mpya kwangu zinagandiana wapi? Hakuna kitu kama hicho
 
Back
Top Bottom