Kwa Wazazi: Utapeli wa English Medium upo katika maeneo yafuatayo

Kwa Wazazi: Utapeli wa English Medium upo katika maeneo yafuatayo

mimi wanasoma kayumba ya kiingereza inayomilikiwa na serikali

mlimani primary school. ada haina stress na walimu wanalipwa mishahara mikubwa kuliko wa tusiime
Bora hizo zina kiwango....sio hizo nyingine darasa moja watoto 300
 
Mkuu unadhani watu hawajui hili? Wanajua sana sema tatizo ni uwezo.

Mtu anaona ni afadhali hizo shule kuliko hizi za kayumba.

Kimsingi ukitaka shule bora ni hizi za level ya International school of Tanganyika na nyingien zote ambazo ada iko kwenye milioni 30 ++ kwa mwaka.

Shule za Kayumba kama haina wanafunzi wengi Peleka huko.
Mfundishe mtoto wako mwenyewe kingereza hasa Akiwa mchanga Mpaka miaka mitano
 
Shule za Kayumba kama haina wanafunzi wengi Peleka huko.
Mfundishe mtoto wako mwenyewe kingereza hasa Akiwa mchanga Mpaka miaka mitano
Conditions ulizotoa ndiyo zinafanya watu wapeleke watoto hizi shule kibabaishji za english medium
1. Kama kayumba haina wanafunzi wengi - Hii ni ngumu kwa sababu ni chache sana zenye wanafunzi wachache na mbaya zaidi chances za kuishi karibu na moja ni finyu na pia waalim wanaweza kuwa siyo wazuri.
2. Siyo wazazi wote wenye uwezo wa kufundisha watoto english na pia muda unaweza kuwa tatizo.
Kwa kifupi tunarudi kule kule. CCM ni mashetani
 
Kwa sababu kwenye video hii wachokonozi wamezichana Kwa fact shule za English Medium pamoja na wazazi hohehahe WA kitanzania wanao somesha watoto wao shule zao.
 

Attachments

  • Screenshot_20250118-183834.png
    Screenshot_20250118-183834.png
    761 KB · Views: 3
Mimi English medium nilimpeleka mtoto ili awe salama tu kwa sababu care kuleipo afadhali na walimu wanawajibika Kama atapata tatizo. Lakini kwa upande wa elimu ni uongo. Mwaka huu nampelekakayumba then hela niliyokuwa nalipa kule nitakuwa namnunulia assets Kama mashamba. Maana naona watoto wa kiarabu hawasomi lakin ndo wanamiliki uchumi. Elimu yetu Haina msaada kwa future ya watoto
Wewe na mie hatuna tofauti, tunafanana mpaka mtazamo aisee! Kumbe duniani wawili wawili siyo kufanana mwonekano pekee kumbe mpaka mikakati na mtazamo doh!
 
Back
Top Bottom