Bora hizo zina kiwango....sio hizo nyingine darasa moja watoto 300mimi wanasoma kayumba ya kiingereza inayomilikiwa na serikali
mlimani primary school. ada haina stress na walimu wanalipwa mishahara mikubwa kuliko wa tusiime
Ndoto za Alinacha
Wazazi wengi hupeleka watoto wao shule za English medium ili nao waonekane wana Hali nzuri kiuchumi, hasa wanawake.
Mkuu unadhani watu hawajui hili? Wanajua sana sema tatizo ni uwezo.
Mtu anaona ni afadhali hizo shule kuliko hizi za kayumba.
Kimsingi ukitaka shule bora ni hizi za level ya International school of Tanganyika na nyingien zote ambazo ada iko kwenye milioni 30 ++ kwa mwaka.
Conditions ulizotoa ndiyo zinafanya watu wapeleke watoto hizi shule kibabaishji za english mediumShule za Kayumba kama haina wanafunzi wengi Peleka huko.
Mfundishe mtoto wako mwenyewe kingereza hasa Akiwa mchanga Mpaka miaka mitano
Tabu sanaHela ya nini?
Mimi mtoto wangu Hata akisoma chini ya mti ni zaidi ya wengi wanaosoma international.
Upuuzi hauna ubora.Bora ya huko kuliko huku kayumba.
Tutafanyaje na serikali kipofu.Upuuzi hauna ubora.
Safi SanaNi hatari Sana mkuu watanzania wanazidi kujanjaruka
Wewe na mie hatuna tofauti, tunafanana mpaka mtazamo aisee! Kumbe duniani wawili wawili siyo kufanana mwonekano pekee kumbe mpaka mikakati na mtazamo doh!Mimi English medium nilimpeleka mtoto ili awe salama tu kwa sababu care kuleipo afadhali na walimu wanawajibika Kama atapata tatizo. Lakini kwa upande wa elimu ni uongo. Mwaka huu nampelekakayumba then hela niliyokuwa nalipa kule nitakuwa namnunulia assets Kama mashamba. Maana naona watoto wa kiarabu hawasomi lakin ndo wanamiliki uchumi. Elimu yetu Haina msaada kwa future ya watoto