Engager
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 1,522
- 3,255
Nimeona mijadala humu. Mwanafunzi anauliza nimechaguliwa shule flani, wazazi na walezi wanauliza mwanangu kachaguliwa shule flani, mkitaka kujua kama shule hizo ni nzuri ki ufundishaji na ufaulu kwa ujumla.
Niwape tu general information. Shule nyingi za serikali ni tiamaji tiamaji. Shule nyingi za serikali zinatumika kama vituo vya mitihani tu. Kwahyo unapoingia kwenye shule yoyote uliyochaguliwa nenda na mentality hiyo.
Unapochaguliwa kusoma shule ya serikali, jiandae kutafuta maarifa nje ya shule. Tafuta tution, soma, elewa, jisomee mwenyewe, ongeza na vichache unavyopata darasani. Utatoboa.
Kama utaenda na wazo la shule nzuri inafaulisha sana, wenzako watafaulu, wewe utafeli.