Kwa Wazazi wenye watoto Marian Girls Karo ni shilingi ngapi kwa Mwaka?

Kwa Wazazi wenye watoto Marian Girls Karo ni shilingi ngapi kwa Mwaka?

Kuna mzee wangu mwisilam alimpeleka binti yake pale anasema alipaelewa sana anadai alikutana na watawa masister ambao wana msimamo ambao yeye mwenyewe mzee wa miaka 50 hajawahi kutana na watu wenye msimamo kama hao
 
Na huko ndiko iliko imani kali ya kweli🤣wana jamaa zao wako Mbeya karibu na Sangu Secondary School waliwahi kumgomea Waziri mmoja aliyetaka kupenyeza mwanaye asome pale, walichukua list ya form 1s wakamwambia chagua jina moja liondoe ili awekwe mwanao
 
Kama unapesa mpeleke Marian ila kama huna au unatafuta prestige aende shule za kawaida.Ongea na walimu wake wampe tuition atatoboa.Nafikiri ada ni 4m kwa mwaka ila ufaulu uhakikao
 
Kumbe hawatozi karo kubwa kivile? Hapa ndipo nitamsomesha mwanangu akimaliza shule ya msingi.
Basically, ni milioni moja na laki nne kwa term[miezi 4]. Kwa wanavyofaulu hakuna lawama kabisa.

Nisichojua ni kama mtoto anaendelezwa holistically.
 
Back
Top Bottom