Kwa wazee wa sanaa ya mapigano

Mapigo haya masempai wanakuwa bado hawajayajua?
Nina swali kidogo hapa; Hivi kuanda cheo kwenye haya mapigano inakuwa ni kila baada ya muda fulani au baada ya kuatain aina fulani mpya za fighting technics?
Natanguliza shukrani
 
mkuu tupia hicho kitabu watu tuchimbe na kujifunza manake kwa political atmosphere ya bongo haya mambo ni muhimu kuyajua
Haha umenifanya nicheke sana mkuu dah.
Unaweza shangaa kikundi cha watu wasiojulikana wamekuweka mtu kati siku moja alafu ukabadilishana nao uzoefu au vipi haha
 
Fanya hivyo mkuu
 
Mi nilienda kuanza mazoezi siku ya kwanza , nilipofanikiwa kurudi home salama ; sikurudi tena mpaka leo . Ilikuwa maeneo fulani kwa master Clay R.I.P
 
Jamani hizi taaluma za mapigano ni kubwa sana mi nawashauri wachukueni watoto wenu wakiwa wadogo muwafundishe ni nzuri mnoo mnoo. unapata ujasiri sana jamani mimi hata saa nane usiku natembea tu labda univizie unipige risasi hapo sawa. Hii taaluma huwa haiangalii sijui baunsa sijui mjeda no. yaan kama mtu hajui martial arts hata uwe baunsa kiaje lazima ukae tena kwa muda mfupi tu na ukiwa umejeruhiwa vibaya sana
pia mtu akiimasta taaluma ya mapigano ni mara chache sana ukamkuta anagombana maana unajua kuwa unaweza kuua muda wowote ukanyea debe maisha
 
Hapo kwenye ninja hapo mkuu vipi wale jamaa na uchawi unahusika hapo kwa maana mambo yao hata tunavyoona kwenye movie ni balaa balaa tu mara anakunja kunja vidole kama ana jeraha mara linapona je kweli yapo hayo kwenye uninja.
 
Daaah mkuu natamani sana huu mchezo wa mapigano sema naona kama umri umeshasonga na viungo vimeshakaza, niliwahi kupiga dojo enzi za utoto (nikiwa primary) ila nikaishia njiani..
 
naona watu mmeuliza saana maswali kuhusu NINJA, as i said b4 hii taaluma ni ngumu saana na pia ni hatari saana yaan its deadly.
naijuua kwa juu juu tu maana nimewahi kutana na mjapani mmoja kama wiki mbili hivi akanionyesha na kuniambia machache nilivutiwa lakini mmmh ni hatare saana.
ila kwa kifupi ni hivi
Kwanza naomba utoe fikra ya yanayotokea kwenye movies na reality mengi huwa ni uongo. Taaluma ya ninja huwa ni taaluma ya siri saana ndio maana hakuna the real DOJO ya Ninja (hizo mnazoziskia huwa mbwembwe tu)
Ninja anakuwa tofauuti maana anaandaliwa kwa muda mrefu saana na Ninja anaonekana mchawi maana anatumia meditation saan aktika mapambano yake
Mfano kuna aina za ngumi ukiangalia Ninja anvyopiga (Mfano URAZUKI hapa najua wazee wa hii taaluma mtanielewa) ni tofauti kabisaa yaan yeye anapiga kama kimakosa kabisaa ila mzee ikikupata ujue umekufa. pia ngumi kama GEDAN NZUKI, FILI ZUKI NA CHUDANI kwa Ninja ni tofauti saana yaan akiwa anapiga unzani labda huyu jamaa hajui kupigana hapana anaua kabisaa

Kingine Ninja kabla hajashika SHINOBI KATANA huwa anafanya meditation na ktk Ninja huwa hakuna kurudi Nyuma the moment Ninja anashika SHINOBI baasi ujue maisha yake ndio yako mikononi mwake. hivyo atatumia weledi na spidi yake kukumaliza

bahat mbaya katika hii taaluma hakunaga kupiga na kuacha kama hajakua baasi atakudhuru vibaya mnoo .

Ninja huwa wanakaa kwenye koo zao, na kila koo ina aina yake ya kusali. Ninja huwa wanatambuana kwa mieondoka au alama za vidole au macho. Wana balance kali saana na ndio maana pigo la scorpion kwap ni kama maji tu. Wana uwezo mkali sana wa kucheza na silaha

Taaluma hii ni SIRI Saana na ndio maana Ninja huwa wanapenda ku strike usiku kwa kifupi huwa hawana huruma na hawapendi kujulikana. Ila wanatahajudio zao sio za nchi hii. Hili la kujiponya kwa kweli siwez lisemea sijawah liona ila wanauwezo mkali sana wa kuwasiliana na wanakoo wenzake kwa kutumia meditation.


Ninja kwa kifupi huwa ni ASSASSINS
Any way Naomba niishie hapa plz tusitaftane jamani
 
na wewe ni ninja
 
Nitakutafuta umetuweka wazi Sana
 
Naitaji mtu wakunifunza hii kitu, au kama kuna shule za kujifunza napenda sana haya mambo.
 
hivi karate na kungfu ipi ni kali zaidi
Kung fu ni hatari sana hata kata zake ngumu ni za kutumia nguvu ya mwili, karate ina mifumo rahisi ya kuielewa.

Nb. Jeshini kuna kombati karate ni zaidi ya kungfu ni special kwa kujilinda na kuua adui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…