naona watu mmeuliza saana maswali kuhusu NINJA, as i said b4 hii taaluma ni ngumu saana na pia ni hatari saana yaan its deadly.
naijuua kwa juu juu tu maana nimewahi kutana na mjapani mmoja kama wiki mbili hivi akanionyesha na kuniambia machache nilivutiwa lakini mmmh ni hatare saana.
ila kwa kifupi ni hivi
Kwanza naomba utoe fikra ya yanayotokea kwenye movies na reality mengi huwa ni uongo. Taaluma ya ninja huwa ni taaluma ya siri saana ndio maana hakuna the real DOJO ya Ninja (hizo mnazoziskia huwa mbwembwe tu)
Ninja anakuwa tofauuti maana anaandaliwa kwa muda mrefu saana na Ninja anaonekana mchawi maana anatumia meditation saan aktika mapambano yake
Mfano kuna aina za ngumi ukiangalia Ninja anvyopiga (Mfano URAZUKI hapa najua wazee wa hii taaluma mtanielewa) ni tofauti kabisaa yaan yeye anapiga kama kimakosa kabisaa ila mzee ikikupata ujue umekufa. pia ngumi kama GEDAN NZUKI, FILI ZUKI NA CHUDANI kwa Ninja ni tofauti saana yaan akiwa anapiga unzani labda huyu jamaa hajui kupigana hapana anaua kabisaa
Kingine Ninja kabla hajashika SHINOBI KATANA huwa anafanya meditation na ktk Ninja huwa hakuna kurudi Nyuma the moment Ninja anashika SHINOBI baasi ujue maisha yake ndio yako mikononi mwake. hivyo atatumia weledi na spidi yake kukumaliza
bahat mbaya katika hii taaluma hakunaga kupiga na kuacha kama hajakua baasi atakudhuru vibaya mnoo .
Ninja huwa wanakaa kwenye koo zao, na kila koo ina aina yake ya kusali. Ninja huwa wanatambuana kwa mieondoka au alama za vidole au macho. Wana balance kali saana na ndio maana pigo la scorpion kwap ni kama maji tu. Wana uwezo mkali sana wa kucheza na silaha
Taaluma hii ni SIRI Saana na ndio maana Ninja huwa wanapenda ku strike usiku kwa kifupi huwa hawana huruma na hawapendi kujulikana. Ila wanatahajudio zao sio za nchi hii. Hili la kujiponya kwa kweli siwez lisemea sijawah liona ila wanauwezo mkali sana wa kuwasiliana na wanakoo wenzake kwa kutumia meditation.
Ninja kwa kifupi huwa ni ASSASSINS
Any way Naomba niishie hapa plz tusitaftane jamani