Kwa wazee wa sanaa ya mapigano

Kwa wazee wa sanaa ya mapigano

Hujachelewa Mkuu maana hii sanaa ni kama mtindo wa maisha unajifunza maisha yako yote kadiri unavyojifunza ndivyo unavyokua hatari zaidi yani kama nyoka....nyoka mzee ndio mwenye sumu kali..
Still you have a time Learn it and enjoy it..

kuna kitu kinaitwa DIM MAK (TOUCH OF DEATH)..pigo moja yes moja mtu ananyooka au anapata paralysis au anapata mshtuko wa moyo(cardiac Arrest),,

Lakin sasa ifundishwi ovyo mpaka uwe level za juu sana hii inatumiwa sana na masters au masensei hatari sana
Mapigo haya masempai wanakuwa bado hawajayajua?
Nina swali kidogo hapa; Hivi kuanda cheo kwenye haya mapigano inakuwa ni kila baada ya muda fulani au baada ya kuatain aina fulani mpya za fighting technics?
Natanguliza shukrani
 
mkuu tupia hicho kitabu watu tuchimbe na kujifunza manake kwa political atmosphere ya bongo haya mambo ni muhimu kuyajua
Haha umenifanya nicheke sana mkuu dah.
Unaweza shangaa kikundi cha watu wasiojulikana wamekuweka mtu kati siku moja alafu ukabadilishana nao uzoefu au vipi haha
 
nitakiweka mkuu cha united satate army field manual hand to hand combat!!
kinaanza na mianguko au midondoko
then streching
kukuonesha sehemu dhaifu zote za mwili
then kutoa kabali
jinsi ya kupiga(strike) kwa ngumi(fists) mateke(kicks)
kupiga sehemu muhimu(vital points)
kujilinda na kisu katika angle 8
kupandana kwa kutumia mkanda(belt)
kwa kutumia fimbo ndogo
kwa kutumia rifle yenye singe

kipo vizuri soon ntakiweka mkuu it's a matter of time!
Fanya hivyo mkuu
 
Mi nilienda kuanza mazoezi siku ya kwanza , nilipofanikiwa kurudi home salama ; sikurudi tena mpaka leo . Ilikuwa maeneo fulani kwa master Clay R.I.P
 
Jamani hizi taaluma za mapigano ni kubwa sana mi nawashauri wachukueni watoto wenu wakiwa wadogo muwafundishe ni nzuri mnoo mnoo. unapata ujasiri sana jamani mimi hata saa nane usiku natembea tu labda univizie unipige risasi hapo sawa. Hii taaluma huwa haiangalii sijui baunsa sijui mjeda no. yaan kama mtu hajui martial arts hata uwe baunsa kiaje lazima ukae tena kwa muda mfupi tu na ukiwa umejeruhiwa vibaya sana
pia mtu akiimasta taaluma ya mapigano ni mara chache sana ukamkuta anagombana maana unajua kuwa unaweza kuua muda wowote ukanyea debe maisha
 
Okay mkuu ni kweli Shorinji Kempo ipo na ni aina ya Karate ime orijineti huko Japani. Tofauti iliyopo ni namna ya kuicheza tu na namna ya kupiga targets zako na stensi zinatofautiana

ila mkuu nikwambie pia KARATE kwa namna nyepesi ni kama dini ya kikristu ina madhehebu kibao na kila dhehebu lina namna yake ya kusali ila lengo ni kumuomba Mungu mmoja. sasa KARATE inagawanyika kuna
Shotokani
Gujuruu
Shorinji kempo
Kurenai karate
Okinawa Karate
n.k ila miimi naipenda Shorinji Kempo maana ni nzuri sana na hata mzee wa miaka 50 anaweza ku adopt tecs zake vizuri tu sio ngumu kama gujuruu au Shotokani.
na tofauti zao ni ktk kucheza stensi zake mfano ngumi za juu (Jordan Nzuki) anavyo kaa mtu wa Gujuruu au wa Shotokani au wa Shorinji ni tofauti kabisaa hawafanani japo wote wana lenga kupiga sehemu moja iwe stationary au anatembea.

Ila ba alao ni kungfu jamani ni ngumu ila ni nzuri hata kiakili mfano Tai chi inakufanya ujitambue zaidi pia kumbuka kungfu inakuwa nzuri kuliko hiz ni kwa sababu ya spidi. hawa jamaa wanatuzidi spidi na accuracy ktk mapigo yao na hizi spidi zinategemeana na nini anafanya ila mostly wana spidi kubwa sana ni mara mbili ya nyoka aina ya cobra anapostrike adui wake.
mchezo mwingine unaitwa Taikwondo huu pia ni mzuri hasa katika mateke japo mchezaji wa mchezo unaoitwa MUATHAI aliyebobea anakuwa na mateke mazuri sana. (Yana nguvu sana)
NINJA ni very dangerious kwa sababu its higly deadly na huyu jamaa (NINJA) anawazidi wenzie in terms of balance. Ninja wana balance kubwa sana sana na wana stamina sana na hata wao mapigo yao ni tofauti sana na pia wanapenda kucheza na weak parts za mwili teena zenye madhara ambayo huwez temegemea. Hawa wameiba spidi toka kwa Kungfu maana hata historia yao wamezaliwa toka katika dark kungfu techniques.
JUDO ni nzuri ila the best kuna kitu kinaitwa AIKIDO (Hii hata Ninja huitumia anapokuwa katika mapigano ya msongamano wa watu wengi) jamani hii taaluma ni hatarii kuliko neno lenyewe hatarii ukimpata mtu anaeijua hata mje 20 mtakaa tu tena kwa maumivu makali saana
Hapo kwenye ninja hapo mkuu vipi wale jamaa na uchawi unahusika hapo kwa maana mambo yao hata tunavyoona kwenye movie ni balaa balaa tu mara anakunja kunja vidole kama ana jeraha mara linapona je kweli yapo hayo kwenye uninja.
 
Daaah mkuu natamani sana huu mchezo wa mapigano sema naona kama umri umeshasonga na viungo vimeshakaza, niliwahi kupiga dojo enzi za utoto (nikiwa primary) ila nikaishia njiani..
 
naona watu mmeuliza saana maswali kuhusu NINJA, as i said b4 hii taaluma ni ngumu saana na pia ni hatari saana yaan its deadly.
naijuua kwa juu juu tu maana nimewahi kutana na mjapani mmoja kama wiki mbili hivi akanionyesha na kuniambia machache nilivutiwa lakini mmmh ni hatare saana.
ila kwa kifupi ni hivi
Kwanza naomba utoe fikra ya yanayotokea kwenye movies na reality mengi huwa ni uongo. Taaluma ya ninja huwa ni taaluma ya siri saana ndio maana hakuna the real DOJO ya Ninja (hizo mnazoziskia huwa mbwembwe tu)
Ninja anakuwa tofauuti maana anaandaliwa kwa muda mrefu saana na Ninja anaonekana mchawi maana anatumia meditation saan aktika mapambano yake
Mfano kuna aina za ngumi ukiangalia Ninja anvyopiga (Mfano URAZUKI hapa najua wazee wa hii taaluma mtanielewa) ni tofauti kabisaa yaan yeye anapiga kama kimakosa kabisaa ila mzee ikikupata ujue umekufa. pia ngumi kama GEDAN NZUKI, FILI ZUKI NA CHUDANI kwa Ninja ni tofauti saana yaan akiwa anapiga unzani labda huyu jamaa hajui kupigana hapana anaua kabisaa

Kingine Ninja kabla hajashika SHINOBI KATANA huwa anafanya meditation na ktk Ninja huwa hakuna kurudi Nyuma the moment Ninja anashika SHINOBI baasi ujue maisha yake ndio yako mikononi mwake. hivyo atatumia weledi na spidi yake kukumaliza

bahat mbaya katika hii taaluma hakunaga kupiga na kuacha kama hajakua baasi atakudhuru vibaya mnoo .

Ninja huwa wanakaa kwenye koo zao, na kila koo ina aina yake ya kusali. Ninja huwa wanatambuana kwa mieondoka au alama za vidole au macho. Wana balance kali saana na ndio maana pigo la scorpion kwap ni kama maji tu. Wana uwezo mkali sana wa kucheza na silaha

Taaluma hii ni SIRI Saana na ndio maana Ninja huwa wanapenda ku strike usiku kwa kifupi huwa hawana huruma na hawapendi kujulikana. Ila wanatahajudio zao sio za nchi hii. Hili la kujiponya kwa kweli siwez lisemea sijawah liona ila wanauwezo mkali sana wa kuwasiliana na wanakoo wenzake kwa kutumia meditation.

Ninja kwa kifupi huwa ni ASSASSINS
Any way Naomba niishie hapa plz tusitaftane jamani
 
na wewe ni ninja
 
Nitakutafuta umetuweka wazi Sana
 
Naitaji mtu wakunifunza hii kitu, au kama kuna shule za kujifunza napenda sana haya mambo.
 
hivi karate na kungfu ipi ni kali zaidi
Kung fu ni hatari sana hata kata zake ngumu ni za kutumia nguvu ya mwili, karate ina mifumo rahisi ya kuielewa.

Nb. Jeshini kuna kombati karate ni zaidi ya kungfu ni special kwa kujilinda na kuua adui
 
Back
Top Bottom