Pia judo kombat mkuu inafundushwa sana,Kila Jeshi lina Mbinu yake ya kupambana hususani pale inapohitajika nguvu ambayo haiusiani na silaha kwa sababu utamshtua adui(alertness) ivyo itakupasa utumie mapigo ambayo kila nchi kupita jeshi ina aina yake ya kumuondoa adui kimya kimya..
So far kwa Tanzania ndani ya jeshi letu (JWTZ/TPDF) ni COMBAT KARATE
Field force wanatumia hiyo hiyo kombati karateUkifika jeshi la police la Tanzania niambie wao wanatumia nini maana daaah
Oyaole omeraNakumbuka zama unatoka dojo mwili wote unauma viungo ndo usiseme, lakini unasisitizwa kutokata tamaa kwani no pain is forever!! Sitasahau hilo daima
Oss Oss respect all but fear no man.
Una uhakika?Wanajeshi wa bongo mikwara ya bangi tu hamna lolote
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Waafrika zetu ni zipi??au roba za mbao na ngwara!!!!!
Mimi mwenyewe mwanzoni mwa miaka ya 2000 nilijifunza shotokan, mtaala ukiwa niwa Japanese karate foundation (JKF) nikiwa sekondari, kiukweli nili enjoy sana, ni mchezo unaofundisha nidhamu zaidi na kujilinda na sio kama kipindi hiki watu wanajifunza kwa ajili ya fujo na kudhihaki wengine.
Kipindi cha nyuma hicho ilikuwa sio kila kijana au mtoto anaruhusiwa kufundishwa haya mapigano, nakumbuka kwenye dojo letu ata km ulikuwa umeshaanza ukafikia level flani ukisikika tu mtaani umepigana na ushahidi ukapatikana basi ulikuwa unafukuzwa kabisa, nowadays naona hali ni tofauti, wale watoto watukutu mtaani ndio wako busy kujifunza hii michezo ili kuendelea kunyanyasa wengine.Unajua nini mkuu katika hii taluuma huwa kuna balehe, yaani mtu anapojua combinations kadhaa na stensi na applications zake baasi anakuwa anahamu saana ya kugombana maana si ushaambiwa na unajua makosa yako wapi. Ukikutana na mtu asiyejua mchezo jinsi anavyokaa tuu tayari wewe unajua unaanzia wapi kumpiga. baasi kila muda mzee unakuwa na hamu ya kugombana teena unatafta hawa ma baunsa ndo wazuri maana wanatumia nguvu kuliko akili.
ila ukivuka steji fulani ukajua kuwa hili pigo naua, hapo unaanza kuwa mpole kama twiga hata mtu akikupiga kibao unashukuru unasepa zako hahahahahahahahahhahahahahahahah.
na hapo ndo mwanzo wa hekima na kujificha huanzia. kuna madogo wa ITF (Wazee wa Taikwondo) niliwahi kutana nao wanasumbua watu nikawapa kichapo kdogo na kuwaripoti hahahaha walinichukia saan ila baadae wakaja kushukuru
Ukiweza kuwa na nidhamu kwanza utauweza huu mchezoNaitaji mtu wakunifunza hii kitu, au kama kuna shule za kujifunza napenda sana haya mambo.
Nidham ninayo mkuu ntavumilia tu.Ukiweza kuwa na nidhamu kwanza utauweza huu mchezo
Tatizo mkifundishwa kidogo mnataka mkajaribu watu mitaaani hukoNidham ninayo mkuu ntavumilia tu.
Shukrani mkuu naimani ntaweza kwasababu na nia ila kuhusu kusumbua mtaani; hapana sina nia hiyo mkuu.Tatizo mkifundishwa kidogo mnataka mkajaribu watu mitaaani huko
Karate ni nidhamu
Kupenda mazoezi
Kupenda kujifunza zaidi
Na usipende mtegemea mwalimu
Na ukiingia dojo akili yote iweke dojo
Ukiweza hayo naimani utaweza ndugu self defence ni muhimu saana mm vibaka huwa hawanip shida ni mwendo wa nakozi tu,na nikiwa na mtoto mzur ukizingua nakulaza chali nasepa zangu
Najuvunia kucheza shotokan,boxing na sasa najifunza taikndo
elimu hainna mwisho hata ukianza na miaka 50 afu ukajua japo kutamka osss tayari na wewe umekua mwana taaluma hiiJe hii taaluma mtu wa umri gani anaweza jifunza? ? Anyway namaanisha umri unaweza kuwa kikwazo katika kujifunza?