Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
Pia judo kombat mkuu inafundushwa sana,Kila Jeshi lina Mbinu yake ya kupambana hususani pale inapohitajika nguvu ambayo haiusiani na silaha kwa sababu utamshtua adui(alertness) ivyo itakupasa utumie mapigo ambayo kila nchi kupita jeshi ina aina yake ya kumuondoa adui kimya kimya..
So far kwa Tanzania ndani ya jeshi letu (JWTZ/TPDF) ni COMBAT KARATE
Kuna jamaa mmoja anajua aina nyingi za mapigano,
Anaitwa Octavian Gowele yupo 92kj ( komando) ni hatari huyo braza.