Kwa wazee wa sanaa ya mapigano

Kwa wazee wa sanaa ya mapigano

Kila Jeshi lina Mbinu yake ya kupambana hususani pale inapohitajika nguvu ambayo haiusiani na silaha kwa sababu utamshtua adui(alertness) ivyo itakupasa utumie mapigo ambayo kila nchi kupita jeshi ina aina yake ya kumuondoa adui kimya kimya..

So far kwa Tanzania ndani ya jeshi letu (JWTZ/TPDF) ni COMBAT KARATE
Pia judo kombat mkuu inafundushwa sana,
Kuna jamaa mmoja anajua aina nyingi za mapigano,
Anaitwa Octavian Gowele yupo 92kj ( komando) ni hatari huyo braza.
 
Nakumbuka zama unatoka dojo mwili wote unauma viungo ndo usiseme, lakini unasisitizwa kutokata tamaa kwani no pain is forever!! Sitasahau hilo daima
Oss Oss respect all but fear no man.
Oyaole omera
 
Mimi hua naota napigana kama bluecelee na nafanya kama yeye

Niliwahi muelezea mzee mmoja wa kichina juu ya hiki kitu nikaambiwa nahitajika kufika china kwani hili tangazo huko lilishatolewa

Nikawaza na kuwazua, nilichogundua ni kwamba nilikuwa naota
 
Mimi mwenyewe mwanzoni mwa miaka ya 2000 nilijifunza shotokan, mtaala ukiwa niwa Japanese karate foundation (JKF) nikiwa sekondari, kiukweli nili enjoy sana, ni mchezo unaofundisha nidhamu zaidi na kujilinda na sio kama kipindi hiki watu wanajifunza kwa ajili ya fujo na kudhihaki wengine.
 
Unajua nini mkuu katika hii taluuma huwa kuna balehe, yaani mtu anapojua combinations kadhaa na stensi na applications zake baasi anakuwa anahamu saana ya kugombana maana si ushaambiwa na unajua makosa yako wapi. Ukikutana na mtu asiyejua mchezo jinsi anavyokaa tuu tayari wewe unajua unaanzia wapi kumpiga. baasi kila muda mzee unakuwa na hamu ya kugombana teena unatafta hawa ma baunsa ndo wazuri maana wanatumia nguvu kuliko akili.

ila ukivuka steji fulani ukajua kuwa hili pigo naua, hapo unaanza kuwa mpole kama twiga hata mtu akikupiga kibao unashukuru unasepa zako hahahahahahahahahhahahahahahahah.

na hapo ndo mwanzo wa hekima na kujificha huanzia. kuna madogo wa ITF (Wazee wa Taikwondo) niliwahi kutana nao wanasumbua watu nikawapa kichapo kdogo na kuwaripoti hahahaha walinichukia saan ila baadae wakaja kushukuru
 
Kipindi cha nyuma hicho ilikuwa sio kila kijana au mtoto anaruhusiwa kufundishwa haya mapigano, nakumbuka kwenye dojo letu ata km ulikuwa umeshaanza ukafikia level flani ukisikika tu mtaani umepigana na ushahidi ukapatikana basi ulikuwa unafukuzwa kabisa, nowadays naona hali ni tofauti, wale watoto watukutu mtaani ndio wako busy kujifunza hii michezo ili kuendelea kunyanyasa wengine.
 
Sis wazee wa boxing wew njoo na karate zako uone nitakachokufanya hutatamani tena karate
 
Mi nimecheza KOMBAT TAE KWONDO MARTIAL ARTS....Na sijapitia Idara yoyote ile ya usalama
 
Nidham ninayo mkuu ntavumilia tu.
Tatizo mkifundishwa kidogo mnataka mkajaribu watu mitaaani huko
Karate ni nidhamu
Kupenda mazoezi
Kupenda kujifunza zaidi
Na usipende mtegemea mwalimu
Na ukiingia dojo akili yote iweke dojo

Ukiweza hayo naimani utaweza ndugu self defence ni muhimu saana mm vibaka huwa hawanip shida ni mwendo wa nakozi tu,na nikiwa na mtoto mzur ukizingua nakulaza chali nasepa zangu

Najuvunia kucheza shotokan,boxing na sasa najifunza taikndo
 
Shukrani mkuu naimani ntaweza kwasababu na nia ila kuhusu kusumbua mtaani; hapana sina nia hiyo mkuu.
 
hicho kitabu kiliyeyuka? au wanakitengo walikuchimba mkwara usikiweke hapa
 
Je hii taaluma mtu wa umri gani anaweza jifunza? ? Anyway namaanisha umri unaweza kuwa kikwazo katika kujifunza?
 
Je hii taaluma mtu wa umri gani anaweza jifunza? ? Anyway namaanisha umri unaweza kuwa kikwazo katika kujifunza?
elimu hainna mwisho hata ukianza na miaka 50 afu ukajua japo kutamka osss tayari na wewe umekua mwana taaluma hii
 
Back
Top Bottom