- Thread starter
- #41
Sawa mkuuKula na ufanye mazoezi uwe na mwili uliojaa jaa. Unataka uwe na kitambi na ulivyo mwembamba hivo hauoni utaonekana kama una kwashakoo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuKula na ufanye mazoezi uwe na mwili uliojaa jaa. Unataka uwe na kitambi na ulivyo mwembamba hivo hauoni utaonekana kama una kwashakoo?
Namzidi aiseeKwani wewe na yule Fido dido wa kwenye 7UP nani mnene kuliko mwenzake?
Hahaha hapana mkuu kg66Inaonekana mkuu umekondeana kama ngofa inayokunya huku imelala
Kilo ngap mkuu unazoNipo comfortable na nilivyo mwembamba japo natamani ngekuwa na nyama nyama Ila jitahada zinagoma.... Basi naufurahia mwili wangu
50-52kg.....hazijawah vuka hapoKilo ngap mkuu unazo
Picha ya nani mkuu 🤣Weka picha
Wanapelekaga myoto balaa 🔥Mm napenda watu wembamba wana mashine nzr hadi raha
Duh kweli wewe ni mwembamba!50-52kg.....hazijawah vuka hapo
Ahhh wapi Mimi mbona napiga kama kuku tu na ni mwembamba.Wanapelekaga myoto balaa 🔥
Hahaha kawaida....... Mkuu hata sitishi na Kuna wembamba zaidi yanguDuh kweli wewe ni mwembamba!
Basi ndo maana ukaambiwa hivoAhhh wapi Mimi mbona napiga kama kuku tu na ni mwembamba.
Ha ha ha ha haKula na ufanye mazoezi uwe na mwili uliojaa jaa. Unataka uwe na kitambi na ulivyo mwembamba hivo hauoni utaonekana kama una kwashakoo?
Ngoja apate icho kitambi ndio atajua ubaya wakeSiyo kitambi, uwe na mwili wa uanaume mkuu
upi huo mkuuSiyo kitambi, uwe na mwili wa uanaume mkuu
Ama kweli zimwi likujualo halikuli likakwisha 🥹 😅 😅 😅Wakuu kwema?
Leo nimelia sana baada ya kuambiwa "Kwa wembamba wako huo nikupeleke wap" Na mwanamke niliye kuwa nampenda.
Kumbe kitambi huwa ni dili? Basi ngoja nikitafute.
Thread tayari.
Usiwe mwembamba sana Wala mnene mkuu...upi huo mkuu
mimi nimerojoka lakini nina hela nyingi mno.Usiwe mwembamba sana Wala mnene mkuu...
Mkakamavu...
Ukiwa mkakamavu hata ukiwa na okra unasitirika....
Umerojoka ngozi mpaka okra si bora ujitupe tu mto Kagera 🥴