Kwa wenye akili tu: Uwakilishi wa bunge uwe automated, wananchi washiriki ki-digitali, hatuhitaji wawakilishi

Kwa wenye akili tu: Uwakilishi wa bunge uwe automated, wananchi washiriki ki-digitali, hatuhitaji wawakilishi

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Wasalaam,

Kama una akili chakata hili.

Hatuitaji wawakilishi, watu wanaokua fatly paid, wanaenda kulala bungeni. Mawazo ya wananchi yanaweza kupatikana online, kwenye platform official itakayo ruhusu michakato na deliberations ya issues za kitaifa na kimataifa.

Gone are the days where mwakilishi ana elimu ya darasa la saba. Twende ki-digitally

Aliyelala usimwamshe.
 
Wasalaam,
Kama una akili chakata hili. Hatuitaji wawakilishi, watu wanaokua fatly paid, wanaenda kulala na kujamba bungeni. Mawazo ya wananchi yanaweza kupatikana online, kwenye platform official itakayo ruhusu michakato na deliberations ya issues za kitaifa na kimataifa. Gone are the days where mwakilishi ana elimu ya darasa la saba. Twende ki-digitally

Aliyelala usimwamshe.
Maxence Melo katoa mfano kwa kuweka jukwaa la stories of change, this way ana tap utaalamu,its just that tuna incompetent leaders hawawezi hata kukopi na kupesti kutoka humu lol, kwa nchi yenye low resources kama Tanzania kuajiri watu wengi bungeni ni upotevu wa mapato. Suggestion uliyotoa ni nzuri.
 
Maxence Melo katoa mfano kwa kuweka jukwaa la stories of change, this way ana tap utaalamu,its just that tuna incompetent leaders hawawezi hata kukopi na kupesti kutoka humu lol, kwa nchi yenye low resources kama tanzania kuajiri watu wengi bungeni ni upotevu wa mapato. Suggestion uliyotoa ni nzuri.
Hakika, wengi wanadhani vitu lazima vifanyike kwa namna ile ile bila kuhoji uhalali na umuhimu wake.
 
Back
Top Bottom