Mara ya kwanza kushawishiwa nilikua chekechea. Round about ya Peace, Makumbusho, zamani huu upande wenye nyumba za makazi ulikua ni eneo tupu lenye magari mabovu tupu watoto tulikua tunaenda kucheza humo.
Basi siku hiyo Siwema akaniuliza "Hivi unajua humu watu hua wanafanya mchezo mbaya?" Nikajibu "Mi sijui" akasema "Njoo nikuonyeshe" Nikaenda.
Mara nyingine ni nikiwa form three kuna mdada wa ndani aliletwa kwa jirani yetu, aliitwa Tumaini. Tulikutana dukani akaniuliza jina nikadanganya naitwa Bakari. Baada ya muda akaanza kunitumia barua na kumtuma jamaa wa dukani. Nilimkataa kwakua alikua mrefu kuliko mimi.
Mwaka mbele Tumaini alikua mzuri chura kama wote, nikarudi kubembeleza akanijibu "Ulichezea nafasi acha waitumie wenzio"
Mwingine ni form four aliitwa Mage, sitamzungumzia (Mungu amrehemu).
Nikiwa form four kuna binti aliitwa Sophia akafall akafunguka, nikamkimbia, hakunivutia.
Nikiwa form five kuna binti anaitwa Farida akanishawishi, huyu nilimmega kwakua mara ya kwanza nilivyokataa alitangaza mimi shoga.
Form six kuna bibi akafall akafunguka, sitamzungumzia.
Mwingine nikiwa chuo mwaka wa Pili, yeye alikua form two akafall akafunguka nikaweka.
Kuna binti alikua dip akafall akafunguka, nikaweka.
Bonge la gape limepita hadi mwaka jana kuna binti anaitwa Mwajuma akasema ananipenda. Nikamkimbia. Hakunivutia.
Kwa ambao nimewasahau watanisamehe ila kiukweli wanawake wanawapenda sana wahuni.