Mimi kipindi hicho nasoma advance siku moja nikiwa narudi nyumbani nilipanda bus fulani hivi lililokua limetoka Dar es salaam likielekea mjini kwetu, basi nilipata siti ya nyuma ya mrembo mmoja matata, mweupe mwenya kashape amaizing basi alijeuka nyuma akaniasalimu tukaanza story mbili tatu zikanoga akatoka seat yake na kuja siti niliyokua nimekaa, story zilikolea akaanza kunisifia nilivyo Handsome kabla sijamjibu chochote alinikwida na kuanza kunipiga denda nami bila hiyana nilimpa support nakujiongeza baada ya hot romance tulibadilishana namba ya simu na niliposhuka tu tukaanza kuchat akaniambia amenimiss sana na ananipenda kuliko maelezo, nilivyofika nyumbani nilifikiria sana yaliyonikuta nilimtukana sana yule dada kwani alichonifanyia ni udhalilishaji na ndio ukawa mwisho wa maongezi yetu...