Tuma ndugu yangu. NazisubiriNakumbuka mala ya keanza kutongozwa na mwanamke ilikua form four Dem nilikua class moja na yeye sema mi nilikua si mtu wa story na wanawake Sana
Wapili: ilikua chuo mdada kwangu kanizidi Kama miaka sita alikua mwajiliwa pia naye nilikua naye class moja
Wa tatu alikua mke wa mtu kanizidi Sana uyu naye nilikutana naye bar tu kwenye moja baridi moja Moto na uyu najitaidi kumpotezea till now, Jana kanitumia text kanimiss ila nimemkazia ( mkitaka screenshot za conservation nawatumia humu) niliua namjibu shot shot.
.
kwa iyo we muhuni?Mara ya kwanza kushawishiwa nilikua chekechea. Roun about ya Peace, Makumbusho, zamani huu upande wenye nyumba za makazi ulikua ni eneo tupu lenye magari mabovu tupu watoto tulikua tunaenda kucheza humo.
Basi siku hiyo Siwema akaniuliza "Hivi unajua humu watu hua wanafanya mchezo mbaya?" Nikajibu "Mi sijui" akasema "Njoo nikuonyeshe" Nikaenda.
Mara nyingine ni nikiwa form three kuna mdada wa ndani aliletwa kwa jirani yetu, aliitwa Tumaini. Tulikutana dukani akaniuliza jina nikadanganya naitwa Bakari. Baada ya muda akaanza kunitumia barua na kumtuma jamaa wa dukani. Nilimkataa kwakua alikua mrefu kuliko mimi.
Mwaka mbele Tumaini alikua mzuri chura kama wote, nikarudi kubembeleza akanijibu "Ulichezea nafasi acha waitumie wenzio"
Mwingine ni form four aliitwa Mage, sitamzungumzia (Mungu amrehemu).
Nikiwa form four kuna binti aliitwa Sophia akafall akafunguka, nikamkimbia, hakunivutia.
Nikiwa form five kuna binti anaitwa Farida akanishawishi, huyu nilimmega kwakua mara ya kwanza nilivyokataa alitangaza mimi shoga.
Form six kuna bibi akafall akafunguka, sitamzungumzia.
Mwingine nikiwa chuo mwaka wa Pili, yeye alikua form two akafall akafunguka nikaweka.
Kuna binti alikua dip akafall akafunguka, nikaweka.
Bonge la gape limepita hadi mwaka jana kuna binti anaitwa Mwajuma akasema ananipenda. Nikamkimbia. Hakunivutia.
Kwa ambao nimewasahau watanisamehe ila kiukweli wanawake wanawapenda sana wahuni.
Hapanakwa iyo we muhuni?
Mara ya kwanza kushawishiwa nilikua chekechea. Round about ya Peace, Makumbusho, zamani huu upande wenye nyumba za makazi ulikua ni eneo tupu lenye magari mabovu tupu watoto tulikua tunaenda kucheza humo.
Basi siku hiyo Siwema akaniuliza "Hivi unajua humu watu hua wanafanya mchezo mbaya?" Nikajibu "Mi sijui" akasema "Njoo nikuonyeshe" Nikaenda.
Mara nyingine ni nikiwa form three kuna mdada wa ndani aliletwa kwa jirani yetu, aliitwa Tumaini. Tulikutana dukani akaniuliza jina nikadanganya naitwa Bakari. Baada ya muda akaanza kunitumia barua na kumtuma jamaa wa dukani. Nilimkataa kwakua alikua mrefu kuliko mimi.
Mwaka mbele Tumaini alikua mzuri chura kama wote, nikarudi kubembeleza akanijibu "Ulichezea nafasi acha waitumie wenzio"
Mwingine ni form four aliitwa Mage, sitamzungumzia (Mungu amrehemu).
Nikiwa form four kuna binti aliitwa Sophia akafall akafunguka, nikamkimbia, hakunivutia.
Nikiwa form five kuna binti anaitwa Farida akanishawishi, huyu nilimmega kwakua mara ya kwanza nilivyokataa alitangaza mimi shoga.
Form six kuna bibi akafall akafunguka, sitamzungumzia.
Mwingine nikiwa chuo mwaka wa Pili, yeye alikua form two akafall akafunguka nikaweka.
Kuna binti alikua dip akafall akafunguka, nikaweka.
Bonge la gape limepita hadi mwaka jana kuna binti anaitwa Mwajuma akasema ananipenda. Nikamkimbia. Hakunivutia.
Kwa ambao nimewasahau watanisamehe ila kiukweli wanawake wanawapenda sana wahuni.
Kipnd Dom Kuna Demu Alinitongoza Kupitia simu Kwa kuwa napenda kitonga nikamkubaria ila aliniambia anataka kunipa tigo Hiyo ndo ikawa bye bye
Kwa hiyo ulitaka ale utumbo?Hapo uliyumba Sana
Rekebisha dogo neno sahihi ni "conversation" ambalo maana yake ni "the use of speech for informal exchange of views or ideas or information etc," na wala sio "conservation" neno Conservation [n.]: maana yake ni: "The act of preserving, guarding, or protecting; the keeping (of a thing) in a safe or entire state; preservation." dogo sio lazima kuandika kimalkia unaweza kuandika kiswahili tu ukaonekana ni maridadi na uko smart kichwani, nilipita tuu sio shabiki wa hapaNakumbuka mala ya keanza kutongozwa na mwanamke ilikua form four Dem nilikua class moja na yeye sema mi nilikua si mtu wa story na wanawake Sana
Wapili: ilikua chuo mdada kwangu kanizidi Kama miaka sita alikua mwajiliwa pia naye nilikua naye class moja
Wa tatu alikua mke wa mtu kanizidi Sana uyu naye nilikutana naye bar tu kwenye moja baridi moja Moto na uyu najitaidi kumpotezea till now, Jana kanitumia text kanimiss ila nimemkazia ( mkitaka screenshot za conservation nawatumia humu) niliua namjibu shot shot.
.
Nimeshangaa na kuvutiwa na boldness ya huyo bidadaKuna demu mmoja those days aliniambia " oyaa leo jioni saa moja naomba uje kwangu, usikose unaskia?...nikamuona yuko so serious so nikamuuliza kuna issue gani? Bila kunikawiza akaniambia "nataka uje unikaze leo ".... Sitomsahau yule dada.
Hahahahahaha hatarii.Nimeshangaa na kuvutiwa na boldness ya huyo bidada
UKIFUNGUA NI TAG PLEASEItanibidi nifungue Uzi wangu kwa ajili ya hii mambo kwa siku naweza kutongozwa kati ya warembo watano mpaka nane