African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
Nafanya research kote kote.. kwenye mitandao ya kijamii,ndugu, jamaa, marafiki, etcHiyo app yako itatumika na wadau wa jf pekee? If not, kwanini sample ya research yako umejikita kwa member wa jf unadhani utapata matokeo sahihi?
iOS 17?CUrrent ios ndio inayotumika na idadi kubwa ya watu.
safi.Nafanya research kote kote.. kwenye mitandao ya kijamii,ndugu, jamaa, marafiki, etc
mm naomba mnijuze jinsi ya kudownload video za youtube zenye high resolution mkuu nlkua natumia android nlkua natumia vidmate napata videos za 4K sas je uku kweny ios hakuna app ya kudownload videos za resolution tofaut wakuu
πππ mapema tu
asante sana mkuuView attachment 2771137
Pakua hiyo kitu
Mimi natumia Tubidy kupitia Opera minimm naomba mnijuze jinsi ya kudownload video za youtube zenye high resolution mkuu nlkua natumia android nlkua natumia vidmate napata videos za 4K sas je uku kweny ios hakuna app ya kudownload videos za resolution tofaut wakuu
Dahh umenikumbusha mbaaliii enzi za nokia xpress musicMimi natumia Tubidy kupitia Opera mini
Haha mimi sitaki mambo mengi, video zangu na audio napakua kupitia TubidyDahh umenikumbusha mbaaliii enzi za nokia xpress music
Dahh umenikumbusha mbaaliii enzi za nokia xpress music
ngj nijarbu hyo njia pia mkuu maan natk nipate vdeos za 4K ili niwe nawek tu kweny pcMimi natumia Tubidy kupitia Opera mini
Mimi ningekutajia, ila sina iPhone mkuu.Wakuu, Mimi ni software developer. Natengeneza App kwa ajili ya kutumika kwenye simu za Apple(iphones).
Nafanya research nipate kujua ios version gani inatumika na watu wengi hapa Tanzania ili niweze kuwaletea App yangu na muweze kuitumia.
Hivyo naomba kufahamu ios version ya ngapi mnatumia.
Kuangalia ios version unatakiwa kwenda kwenye Settings, kisha utabonyeza General, halafu utabonyeza About ( yaani Settings > General > About ).
Hapo utaona kipengele kimeandikwa Software Version / iOS Version au Version ikiwa na namba mbele yake mfano Software Version 15.0 ( Hio 15.0 ndio version yenyewe )
Natanguliza Shukrani π
View attachment 2771083