Kwa wenye iphone, Naomba mnisaidie kunitajia ios version zenu 🙏

Mkuu build for the latest version ya ios. App store na play store huwa wanakataa uki submit apps ulizobuild kwa version za zamani sana.

Mfano last week play store hawataki app yoyote inayotarget API level chini ya 33 (Android 13)

Sijasubmit app store tangia January but watakuwa na similar restriction.

Jitahidi build kwa xcode 15 na ios 17
 
Dooh hatari sana.. vipi kuhusu compatibility issues.. wanaotumia os za zamani let's say 14 au 15 wataweza kutumia kweli???
 
Dooh hatari sana.. vipi kuhusu compatibility issues.. wanaotumia os za zamani let's 14 au 15 wataweza kutumia kweli???

Ndio. API zina backwards compatibility usiwaze piga kazi. Unless app yako inategemea feature ambayo haipo kwenye ios za zamani which is very unlikely.

Na kwenye code unaweza kucheck ios version ya device na ukabadilisha app yako na API unazotumia kutegemeana na ios version
 
Hapa umenifungua mkuu.. asante sanaa
 
mm naomba mnijuze jinsi ya kudownload video za youtube zenye high resolution mkuu nlkua natumia android nlkua natumia vidmate napata videos za 4K sas je uku kweny ios hakuna app ya kudownload videos za resolution tofaut wakuu

Mkuu download blackholes app. Itakusaidia kupata izo video Hd
 
ndo hii mkuu Sham777
0627DC93-88FF-4B4F-B27B-8463B7297780.png
 
Back
Top Bottom