Baada ya miaka kadhaa atakuwa mhenga. Na wanafunzi watakuwa wanaulizwa kwenye mtihani. Jaza .....Hapani joti ni kituko
Watajibu jaza ujaze sio kama matusi yake huyo mhenga fakeBaada ya miaka kadhaa atakuwa mhenga. Na wanafunzi watakuwa wanaulizwa kwenye mtihani. Jaza .....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaahaa acha hizo, umesikia vibaya au umedanganywaAlafu nmesikia kunaki sita kwa sita unajua kukatika ndyo maana nakuganda
Unafukua sana, kule nilijibu swali tuNimesikia toka kinywani mwa mikono yako ukiandika na kusema
Kwa heri muhenga muda niliokupa unatosha na nimejitahidi mnoIchi ndyo kimenishawishi nikugande na mpka limbwata nitakulisha