Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Mr Domo kani unayo mwaka huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo MTU asipokuwa upande wa Lumumba hajitambui?Kumbe unaweza kujitambua.. safi sana.
kaziKani au kazi?
Na ukiniita mm shoga lazma nimtafute bmkubwa wako ili niku proof wrongUkiwa na ugomvi na mm ukaingiza habari za wazazi wasio husika lazima tugawane majengo ya serikali. Uende hospital niende selo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sanaaaaaaa mbwayu mbwayu tuhKwani huna mhenga?
Ukipenda amani wakati wa vita utakufa mapema
Moyo haujaumbwa isipokua kuchagua kimoja kila palipo viwili. UsijidanganyeMkuu wewe mpenda mziki mzuri safi sana
Kuingiza wazazi kwenye utoto wao sijapenda aisee.....
Binafsi naona haijakaa njema
we mbona hapa umeandika "vzri"... ndo nini hii...?Jifunze kuwa unaandika vzri
Haya mkuu.. ni typing errors tuNimefupisha tu.
Lakn ww uliandika kasi badala ya kazi