Gyole
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 7,008
- 7,059
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahenga wana sifa zinazofanana, acha tu nipambane na hali yanguHutojutia mama kuwa na mhenga
Kuingiza wazazi kwenye utoto wao sijapenda aisee.....
Binafsi naona haijakaa njema
Zile hadithi zenu je za kudanganyanaWahenga wote tuna sifa moja ya kuonyesha mapenzi ya kweli izo sifa zako zngne za wanaume wa Dar sio wahenga
Mbona uko jasiri ivo, mimi nishapumzika bhanaHazina nafasi tena izo kwa wahenga wa kizazi kipya
Fanya kukubari tu niwe muhenga wako
Kuingiza wazazi ndiyo vizuri kabisa kwasababu itamuumiza huyo mwenye mzazi wake ili akome kuchokoza wengine.
Hahaha... Wahenga walisema... Chanda chema huvishwa pete...
Acha wafu wazikaneSio sawa watoto kuhusisha wazazi kwenye maugomvi ya watoto. Unajua kuna mitoto haina adabu, haina mshipa wa aibu hawaheshimu wazazi wao. Hawajali kabisa wanasababisha maumivu kiasi gani kwa wazazi.
Sent using Jamii Forums mobile app